Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

Katika tendo la ndoa nani hufaidi zaidi?

Mchezo ukiandaliwa kwa utaramu Wa hali ya juu wote wanafaidi 'lakini kama ni kwa mmoja huyo ndio mwenye kufaid
 
Salaam MMU,

Nimekuwa nikijiuliza toka siku nyingi hili swali ''nani hasa hufaidi hili tendo mujarabu" Naomba kila mmoja atupe uzoefu wake.

Nawasilisha.
Wakati unachokonoa sikio ukiwa unalisafisha kati ya kijiti na skio nani anaskia raha? Nadhani jibu limekujia.
 
Mkunwa na mkunaji muona raha ni nani…swali hili liliwashinda hata wahenga kupatajibu, sepuse kizazi cha chips yai
 
Mume na mke wanapokutana kimwili nani anafurahia zaidi kati yao?
Itategemea ni nani/yupi kwa siku hiyo ana hamu (Minyege) na mwenzie...!!

Hii kitu Mungu hakuiweka ama kuifanya kuwa ni Guarantee, ili kuepusha jinsia moja kujitapa kwa mwingine....!!

Ndio maana Kiumbe akatengeneza Konyagi, Reds, Amalula, Grants, na vingine kadha wa kadha kwa lengo la kuamsha HARI kwa jinsia zote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kugegedana bila mmojawapo kutumia kilevi chochote au iwe wote wametumia kileo.
 
Back
Top Bottom