Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,387
Chanjo ni hiari.Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?...
Pumba!Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?.. Hivi kitendo cha kuletwa chanjo milioni moja na August 3 likazinduliwa zoezi la chanjo,Leo ni September 3 mwezi mmoja baadae zimetumika chanjo laki 3 tu, katika nchi yenye watu milioni 60 huoni hata hao wabunge 95% wapo upande wa Gwajima!?.. wakati mwingine muwe mnaficha uny.umbu wenu.
Mkuu suala linalomkabili Gwajiboy ni kusema UONGO kwamba kuna Viongozi wa Juu Serikali wamehongwa ili kuruhusu chanjo iingie nchini. Pili chanjo walizochanjwa Viongozi Wale ni usanii mtupu. Na sababu hii ya Gwajiboy ndiyo iliyowatisha Watz kujitokeza.Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?....
Mkuu huyu Gwajiboy kakalia kuti kavu. Hata akiachia ngazi bado Mahakama inamsubiri. Pona yake itategemea huruma ya mwenyekiti wake wa Chama Taifa.Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue...
Hiyo ni ngumu kumeza kwake, ni mchezo wa Sitaki- NatakaPamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri ...
Huruma ya mwenyekiti maana yake ni kuwa Mwenyekiti anakubali kuwa ile chanjo yao siku ile ilikuwa kweli ni usanii ? ?? Suala la chanjo halitakiwi kufanyiwa mzahaMkuu huyu Gwajiboy kakalia kuti kavu. Hata akiachia ngazi bado Mahakama inamsubiri. Pona yake itategemea huruma ya mwenyekiti wake wa Chama Taifa.
Ebu tuondolee upuuz hapa bhana..jf imekuwa na watu wapuuz puuz tu siku hziPamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa amewahi kudai ubunge sio hadhi yake yeye kama mtumishi wa Mungu.
Kwa maneno mengine, Mtu ambae ubunge kwake ni cheo kidogo kuliko uasikofu, hapaswi kuhangaika kujitetea/kutetea ubunge wake ball anapaswa kuachia ubunge huo haraka iwezekanavyo.
Sasa akisubiri, wamuwahi , sijui atasema mini kwani kwa matamshi yake, hastahili kusubiri hata hii adhabu aliyopewa na Bunge iishe, bali anapaswa kutangaza kujiuzulu mara moja na hapo atakuwa amethibitisha kauli yake kuwa uaskofu ni cheo kikubwa kuliko ubunge na vyeo vingine vyote vya kidunia.
Kazi kwake.
Kawaulize watu mtaani kwako wakwambie kama Gwajima ndo kawatisha wasichanje,.., hivi hujiulizi tumeishije tangu December 2019 mpaka leo!?,hushangai pamoja na kampeni zote watu hawana muda na barakoa na hiyo Corona!?.. mwaka Jana viwanja vya mpira vilikuwa vinajaa tu bado unadhani watu wamemsikiliza Gwajima!?.. hata bila Gwajima watanzania wameungana na watu wengi tu ulimwenguni kupinga chanjo za majaribio... Kama umechanjwa shauri yako, subiri kidney failure,heart attack, infertility.. etc wakati wowote maana umeamua kuwa fala. Nakupa assignment... Tafuta daktari yoyote ulimwenguni hata aliyesoma vyuo vyetu Kama muhimbili au kairuki aliyechanjwa kama utampata. Akuhakikishie umuone sio kuzuga kama viongozi wetu siku ile. Hayupo Sababu wanajua maana ya mRNA na Spike protein. Naishia hapo.Mkuu suala linalomkabili Gwajiboy ni kusema UONGO kwamba kuna Viongozi wa Juu Serikali wamehongwa ili kuruhusu chanjo iingie nchini. Pili chanjo walizochanjwa Viongozi Wale ni usanii mtupu. Na sababu hili ya Gwajiboy ndiyo iliyowatisha Watz kujitokeza.
Gwajiboy hana tatizoPamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa amewahi kudai ubunge sio hadhi yake yeye kama mtumishi wa Mungu.
Kwa maneno mengine, Mtu ambae ubunge kwake ni cheo kidogo kuliko uasikofu, hapaswi kuhangaika kujitetea/kutetea ubunge wake ball anapaswa kuachia ubunge huo haraka iwezekanavyo.
Sasa akisubiri, wamuwahi , sijui atasema mini kwani kwa matamshi yake, hastahili kusubiri hata hii adhabu aliyopewa na Bunge iishe, bali anapaswa kutangaza kujiuzulu mara moja na hapo atakuwa amethibitisha kauli yake kuwa uaskofu ni cheo kikubwa kuliko ubunge na vyeo vingine vyote vya kidunia.
Kazi kwake.
Niliwahi kuandika humu JF, kama hao viongozi walichanjwa chanjo halisi wapimwe kama miili yao imetengeneza kinga ili kumwumbua GwajiboyMkuu suala linalomkabili Gwajiboy ni kusema UONGO kwamba kuna Viongozi wa Juu Serikali wamehongwa ili kuruhusu chanjo iingie nchini. Pili chanjo walizochanjwa Viongozi Wale ni usanii mtupu. Na sababu hili ya Gwajiboy ndiyo iliyowatisha Watz kujitokeza.
ππππ Hawatumii akili.Ndo maana nakwambiaga huna akili bila kupepesa macho. Pamoja na Raisi kuonyesha yupo na Gwajiboy Jana bado hujagundua hakuna wa kumfanya lolote Gwajima ndani ya CCM!?.. Hivi kitendo cha kuletwa chanjo milioni moja na August 3 likazinduliwa zoezi la chanjo,Leo ni September 3 mwezi mmoja baadae zimetumika chanjo laki 3 tu, katika nchi yenye watu milioni 60 huoni hata hao wabunge 95% wapo upande wa Gwajima!?.. wakati mwingine muwe mnaficha uny.umbu wenu.
Gwaji anajua mipango na mikakati ovu ya maccm, wakati wa mwendazake,Pamoja na sababu nyingine zozote, nahisi baadhi ya wabunge na Wana-CCM wengine ndani ya CCM, wanataka kuona kama kweli Gwajima ubunge kwake sio issue. Hivyo, Gwajima asisubiri wanuwahii kwa maana ya kumtimua ubunge kwani wanaweza kuanza kumsuta kwanini hakujiuzul licha ya tuhuma zote huku akiwa amewahi kudai ubunge sio hadhi yake yeye kama mtumishi wa Mungu.
Kwa maneno mengine, Mtu ambae ubunge kwake ni cheo kidogo kuliko uasikofu, hapaswi kuhangaika kujitetea/kutetea ubunge wake ball anapaswa kuachia ubunge huo haraka iwezekanavyo.
Sasa akisubiri, wamuwahi , sijui atasema mini kwani kwa matamshi yake, hastahili kusubiri hata hii adhabu aliyopewa na Bunge iishe, bali anapaswa kutangaza kujiuzulu mara moja na hapo atakuwa amethibitisha kauli yake kuwa uaskofu ni cheo kikubwa kuliko ubunge na vyeo vingine vyote vya kidunia.
Kazi kwake.
Umeongea ukweli Gwajima hana issue, Mwendazake ndo alituweka huru kutoogopa.Kawaulize watu mtaani kwako wakwambie kama Gwajima ndo kawatisha wasichanje,.., hivi hujiulizi tumeishije tangu December 2019 mpaka leo!?,hushangai pamoja na kampeni zote watu hawana muda na barakoa na hiyo Corona!?.. mwaka Jana viwanja vya mpira vilikuwa vinajaa tu bado unadhani watu wamemsikiliza Gwajima!?.. hata bila Gwajima watanzania wameungana na watu wengi tu ulimwenguni kupinga chanjo za majaribio... Kama umechanjwa shauri yako, subiri kidney failure,heart attack, infertility.. etc wakati wowote maana umeamua kuwa fala. Nakupa assignment... Tafuta daktari yoyote ulimwenguni hata aliyesoma vyuo vyetu Kama muhimbili au kairuki aliyechanjwa kama utampata. Akuhakikishie umuone sio kuzuga kama viongozi wetu siku ile. Hayupo Sababu wanajua maana ya mRNA na Spike protein. Naishia hapo.
Yupo sahihi umekurupuka au hujui siasa wewePumba!