View attachment 101491
Ni baada ya kufanikiwa Makanisani amekuja na mpya, ameamua kuingia katika jamii ya Waislamu kwa maslai yake, katika mbio zake za kusaka Urais akiwa Jijini Mwanza aliweza 'kujisilimisha' kiaina na kujiita Ustadhi Abdalah, hii ni baada ya kuvishwa Joho maalum kwa kufanikisha upatikanaji wa Milioni 590 kwenye Harembee ya Bakwata.
Katika kumpongeza huko Waislamu hao walimpa na jina la Ustadh Abdalah Edward Lowassa.
kweli urais noma mpaka mzee mzima anamkana yesu ( maana ya ukristo) amekuwa Yuda alipomkana mara tatu