Katika kuusaka Urais Lowassa ajiita Ustadh Abdalah

Katika kuusaka Urais Lowassa ajiita Ustadh Abdalah

Pesa zilizomwaga damu zimeletwa kusafishwa madhabahuni alafu mnaruka-ruka kwa furaha.
 
Haaa, lowa$sa ni mjanja sana, ameshayateka makanisa, sasa amekimbilia misikitini, na waislamu wanavyopenda vitu laini kashawamaliza! Chezea fisadi nn?
 
Ngonja nimualike kwenye familia yangu achangie hata m10 nimelizie finishing ya kageto kangu nitampa jina lingine.el anausaka urais wa nchi hii cjui ana ajenda gani huyu jamaa
 
Ustadh Lowassa ni mjanja sana, baada ya kuwachota akili wagalatia sasa kaenda kuwachota akili wafilisti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom