Katika kuusaka Urais Lowassa ajiita Ustadh Abdalah

Katika kuusaka Urais Lowassa ajiita Ustadh Abdalah

Kama marekani anavochezeaga akili za waarabu...Pakistani anafadhili Talebani ili kuangusha utawala wa Afghanistani, lakini Pakistan huyohuyo anatoa anga yake itumike na ndege za Marekani kupambana na Taleban. Akili za kuangalizia.
 
Siasa za Tanzania bhanaa, sijui ufanye jambo gani ili uonekane mzuri.
 
dah wakubwa nimecheka kweli mchana huu, kweli ustadh abdalah kazi anayo
 
1.lowassa by g.sengo 16.jpg
Mfanyabiashara maarufu jijini Mwanza ambaye pia ni Mzee wa Baraza la wazee Mwanza Mjumbe wa NEC wilaya ya Tarime Christopher Gachuma akimkabidhi mmoja wa wazee wa kiislamu aliyeketimeza kuu kanzu pamoja na joho kama zawadi aliyovikwa mgeni rasmi Mhe. Lowassa.

Kabla ya kukabidhiwa hivyo naye alijiita OMARI na kusema, "Mhe. Lowassa mie leo usiniite Gachuma niite Omari"
 
1.lowassa by g.sengo 7.jpg
Aliyekuwa Waziri Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige (anayeongea Pichani) naye alikuwapo kama moja ya watu wenye kuumuunga mkono Ustadh Abdalah Lowassa na alisema yeye siyo Maige bali JUMA Ezekiel Maige.
 
Hajawaaidi mahakama ya kadhi akipita.?
 
View attachment 101491
Ni baada ya kufanikiwa Makanisani amekuja na mpya, ameamua kuingia katika jamii ya Waislamu kwa maslai yake, katika mbio zake za kusaka Urais akiwa Jijini Mwanza aliweza 'kujisilimisha' kiaina na kujiita Ustadhi Abdalah, hii ni baada ya kuvishwa Joho maalum kwa kufanikisha upatikanaji wa Milioni 590 kwenye Harembee ya Bakwata.

Katika kumpongeza huko Waislamu hao walimpa na jina la Ustadh Abdalah Edward Lowassa.
I hope its a joke... however no suprise maana ujinga na umaskini wa watz ndio mtaji wa wanasiasa... wanasiasa wako radhi wafanye chochote ili mradi waingie madarakani... membe alishawahi kusema pesa hata ikitoka kwa shetani ichukuliwe wakati huo akitetea tz kujiunga na OIC... malechela nae hivyo hivyo jamani kuweni makini na wanasiasa... unafiki ndio alama yao...
 
Usiibie nchi miaka 20 alafu ukatumia ela hizo kuhonga ili uwe rais.

Kama utakuwa unafahamu vizuri lugha ya Kiswahili, jaribu kusoma kwa kurudia sehemu ambazo zina maandishi ya rangi nyekundu hapa chini:

Nadhani kwa utashi wa haraka tu utakuwa umetambua kuwa kuna utofauti wa KUJIITA jina fulani na KUPEWA jina fulani...hivyo hiyo taarifa ya mwanabodi huyu ina kasoro za kiuandishi kwani imegubikwa na mgongano wa kimaana.

Ni baada ya kufanikiwa Makanisani amekuja na mpya, ameamua kuingia katika jamii ya Waislamu kwa maslai yake, katika mbio zake za kusaka Urais akiwa Jijini Mwanza aliweza 'kujisilimisha' kiaina na kujiita Ustadhi Abdalah, hii ni baada ya kuvishwa Joho maalum kwa kufanikisha upatikanaji wa Milioni 590 kwenye Harembee ya Bakwata.

Katika kumpongeza huko Waislamu hao walimpa na jina la Ustadh Abdalah Edward Lowassa.
 
Siasa na madaraka ni vitu vya ajabu sana, hata ukiambiwa ubweke kama Mbwa unabweka ilimradi tu upate publicity. kuna mbunge mmoja wa viti maalumu Iringa alienda studio kuingiza vocal kwenye nyimbo ya underground wa bongoflavor nyimbo yenyewe ilikua ya mapenzi ilimradi tu naye aonekane yupo jirani na jamii
 
Hela chukueni, tena mwambieni aendelee kupita na kutoa kwenye kila msikiti na kila kanisa. Ila URAIS atausikia tu, hatudanganyiki!!
 
Ana haki ya kuitwa hivo. Alichangisha zaidi ya milioni 590! Hata Jakaya ambaye ni Muislam asingeweza kuzichangisha hizo. Hivi Gachuma, mzee wa totoz kahama kwa Sumaye? Ama kweli siasa ni hasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom