Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Hela chukueni, tena mwambieni aendelee kupita na kutoa kwenye kila msikiti na kila kanisa. Ila URAIS atausikia tu, hatudanganyiki!!
Mmmmh ! ..........wanasemaga penye udhia penyeza rupia !