Katika kitu ambacho sitaruhusu, ni mwanamke kunipanda kichwani

Mke wangu sasa tuna mwaka wa kumi sasa ananijua vizuri kabisa. Sijawahi kumpiga na sitampiga kabisa mpaka mwisho wa safari yetu. Ila nishamweleza msimamo na mtazamo wangu tangu tukiwa wachumba .
Baadaye tulipoishi pamoja alileta vijitabia ya nimechoka kitandani , yaani yeye ndiye anipangie ratiba ya kumkula.
Nilimwambia aniambie ni nani anayemchosha huko nje au anithibitishie kuwa yeye ni mlemavu na kwamba aliolewa tu kwa kufuata mikumbo ili nipate sababu nitakapomrudisha kwao, kwamba binti yao ni mlemavu aliolewa kwa makosa ile kazi ya ndani haiwezi.
Tangu hapo sijawahi kupewa kwa masharti.
Nina mtoto nje ya ndoa, sasa mama wa mtoto aliniletea tabia za Kikurya, yaani alileta hasira kisa kuna jambo moja dogo tu nilikuwa kama namzungusha kumtimizia. Sasa siku namtimizia najiandaa kumpelekea kiswaswadu chake nikamwambia huenda nisije leo nitamtuma boda alete hii simu akakata simu kwa hasira.
Nikampigia akapokea nikamuuliza kwanini umekata simu akanijibu nakuwa na fake promise.
Nikamwambia ok, basi kuanzia sasa nitakutumia elfu 50 tu ya mtoto badala ya laki 1 niliyokuwa nakutumia kila mwezi.
Tena jua kuwa Mimi sijawahi kumpenda mwanamke, hivyo sitahitaji nikuone tena maisha yangu yote. Kisha nikamblock kwa siku kama 5 hivi ili nisizione sms zake. akawa anatuma nafuta bila kusoma. Baadaye nikatoa block. Sasa mwezi umekata yeye ndiye huanza kunisalimia namjibu short and clear.
Kwakweli sihitaji tena kusex naye hata kumuona. Tutaonana labla siku nakwenda kumchukua mtoto 2031.
Mwanamke anipande kichwani huku namwangalia tu . Haiwezekani.
Hata wife nilimwambia mapema.
SIKU nikipata ushahidi tu amecheat msamaha wake ni kumfukuza nyumbani usiku wa manane.
Una spaner
 
Simu hizi ndogo tunazotumia kufanya chatting nyingi hata ukimblock mtu sms zinaingia kama kawaida.
Simu za Android au apple sms zinaingia ila zinajificha mpaka ukazichimbue unazikuta zote.
Blocking haizuii sms isiingie
Haizuii sms ila inazuia wewe kupata notifications.

Kama unapata notifications kazi ya kublock ni nini? Hutaki uwasiliane na mtu ila unaenda kuchambua ili ufute kabla hujasoma au siyo?
 
Mke wangu sasa tuna mwaka wa kumi sasa ananijua vizuri kabisa. Sijawahi kumpiga na sitampiga kabisa mpaka mwisho wa safari yetu. Ila nishamweleza msimamo na mtazamo wangu tangu tukiwa wachumba .
Baadaye tulipoishi pamoja alileta vijitabia ya nimechoka kitandani , yaani yeye ndiye anipangie ratiba ya kumkula.
Nilimwambia aniambie ni nani anayemchosha huko nje au anithibitishie kuwa yeye ni mlemavu na kwamba aliolewa tu kwa kufuata mikumbo ili nipate sababu nitakapomrudisha kwao, kwamba binti yao ni mlemavu aliolewa kwa makosa ile kazi ya ndani haiwezi.
Tangu hapo sijawahi kupewa kwa masharti.
Nina mtoto nje ya ndoa, sasa mama wa mtoto aliniletea tabia za Kikurya, yaani alileta hasira kisa kuna jambo moja dogo tu nilikuwa kama namzungusha kumtimizia. Sasa siku namtimizia najiandaa kumpelekea kiswaswadu chake nikamwambia huenda nisije leo nitamtuma boda alete hii simu akakata simu kwa hasira.
Nikampigia akapokea nikamuuliza kwanini umekata simu akanijibu nakuwa na fake promise.
Nikamwambia ok, basi kuanzia sasa nitakutumia elfu 50 tu ya mtoto badala ya laki 1 niliyokuwa nakutumia kila mwezi.
Tena jua kuwa Mimi sijawahi kumpenda mwanamke, hivyo sitahitaji nikuone tena maisha yangu yote. Kisha nikamblock kwa siku kama 5 hivi ili nisizione sms zake. akawa anatuma nafuta bila kusoma. Baadaye nikatoa block. Sasa mwezi umekata yeye ndiye huanza kunisalimia namjibu short and clear.
Kwakweli sihitaji tena kusex naye hata kumuona. Tutaonana labla siku nakwenda kumchukua mtoto 2031.
Mwanamke anipande kichwani huku namwangalia tu . Haiwezekani.
Hata wife nilimwambia mapema.
SIKU nikipata ushahidi tu amecheat msamaha wake ni kumfukuza nyumbani usiku wa manane.
Msimamo umenyooka ila id yako ni 🚮🚮🚮
 
Huna kichwa atakaaje kichwani
 
Mke wangu sasa tuna mwaka wa kumi, ananijua vizuri kabisa. Sijawahi kumpiga na sitampiga kabisa mpaka mwisho wa safari yetu. Ila nishamweleza msimamo na mtazamo wangu tangu tukiwa wachumba.

Baadaye tulipoishi pamoja alileta vijitabia vya "nimechoka" kitandani, yaani yeye ndiye anipangie ratiba ya kumkula.

Nilimwambia aniambie ni nani anayemchosha huko nje au anithibitishie kuwa yeye ni mlemavu na kwamba aliolewa tu kwa kufuata mikumbo. Nilimwambia nataka nijue ili nipate sababu nitakapomrudisha kwao, nikawaambie kwamba binti yao ni mlemavu na aliolewa kwa makosa kwa sababu ile kazi ya ndani haiwezi.

Tungu hapo sijawahi kupewa kwa masharti.

Nina mtoto nje ya ndoa. Sasa mama wa mtoto aliniletea tabia za Kikurya, yaani alileta hasira kisa kuna jambo moja dogo tu nilikuwa kama namzungusha kumtimizia. Sasa siku namtimizia najiandaa kumpelekea kiswaswadu chake, nikamwambia huenda nisije leo na kwamba nitamtuma bodaboda alete hii simu, akakata simu kwa hasira.

Nikampigia akapokea, nikamuuliza kwanini umekata simu, akanijibu nakuwa na fake promise.

Nikamwambia ok, basi kuanzia sasa nitakutumia elfu 50 tu ya mtoto badala ya laki 1 niliyokuwa nakutumia kila mwezi.

Tena jua kuwa mimi sijawahi kumpenda mwanamke, hivyo sitahitaji nikuone tena maisha yangu yote. Kisha nikamblock kwa siku kama tano hivi ili nisizione sms zake. Akawa anatuma nafuta bila kusoma, baadaye nikatoa block. Sasa mwezi umekata na yeye ndiye huanza kunisalimia, namjibu short and clear.

Kwakweli sihitaji tena kusex naye hata kumuona. Tutaonana labda siku nakwenda kumchukua mtoto mwaka 2031.

Mwanamke anipande kichwani huku namwangalia tu? Haiwezekani.

Hata wife nilimwambia mapema.

Siku nikipata ushahidi tu amecheat, msamaha wake ni kumfukuza nyumbani usiku wa manane.
Bado haujasema subiri akupe limbwata utakuwa kama zuzu kila unalofanyiwa wewe ni NDIO tu!
 
Mara nyingi ni wanawake wa kikurya ndio wanatabia hizo
Kufokea wanaume
Kujiamulia mambo
Hasira za kijingajinga
Kukataa kupika
Kununa na kwenda kulala ndani
Midomo kelele km ndege
Dawa yao ni moja kipigo tu usipompiga utadharaulika sana
Kwahiyo ningeenda nimnyuke makofi?
 
Wewe ulikuwa na mawazo kama mimi! Mwanaume huwezi kuwa na mguu laini kiasi hiki. Halafu anasema hawezi mwanamke kumpanda kichwani, na wakati hapo alipo ni chawa wa mama!

Atuambie ikitoka mama yake akamuambia afanye kitu chochote kile kama atakataa.
Bado sijaamini kama mwanaume, hiyo ID aliibadirisha majina mwanzo humu jukwaani alikuwa anajifanya mtumishi mtumishi nabii mke, kutabilia watu, nahisi ni project ya ma ccm hii, na alikuwa kama yupo against na utawala.
 
Back
Top Bottom