Riport ambayo kila mtu alilia na kulipigia kelele hilo jambo??!!
Nyie ndo wale wanawake mnaopanga sherehe za kuvishwa Pete za uchumba, alafu mnapovalishwa mnajifanya kushangaa.
Kuhusu mchanga huo, ni vitu ambavyo vilikua wazi kabisa. Ni sawa na gas ya mtwara.
Wapinzani walipokua wakilia bungeni, haohao mnawasifia leo, ndio waliokua wanapinga hoja nzito za kulijomboa taifa.
Nitatoa mfano wa walichokua wanalia wapinzani bungeni. Ni sakata la miswaada ya gas kuingia bungeni kama hati ya dharula. Wapinzani walipinga hilo suala mpaka wakaamua kutoka nje baada ya kuona hawasikilizwi na hao mnaowaona wakombozi leo.
Kwahiyo, hapo hakuna jipya. Ni kujitekenya na kucheka