Mikataba hii ilizungumzwa na kupitishwa katika level ya cabinet. Hivyo alihusika.
Kanuni za collective responsibility zinasema hivi, ukipingana na kitu, ama mawazo yako yatakubalika ama yatapuuzwa.
Yakikubalika unaendelea na kazi na una ownership ya maamuzi.
Yakipuuzwa una uamuzi wa kufanya. Ama ukubaliane na kupuuzwa huko na uendelee na kazi, ama ujiuzulu na kupinga mambo kutoka nje.
Magufuli alikuwa na nafasi ya kujiuzulu uwaziri na kusema mabaya haya akiwa nje. Hakuthubutu kufanya hivyo.
Maana yake alikubaliana na maamuzi.
Angekuwa na uchungu angejioa uwaziri abaki mbunge backbencher aweze kuinanga serikali vizuri. Mikataba mikubwa kama hii katika ngazi ya cabinet mawaziri wanaiona, kusema kuna mambo hayako wazi ni kumtetea tu.
Una uhakika hawawezi wakati watu washaanza kazi hiyo?
Evidence gani against them? Unajua mikataba iliwaruhusu kuchukua mchanga na Magufuli kukataza kuchukua mchanga anavunja mikataba?
Mikataba inavunjwa. Evo Morales wa Bolivia kavunja mikataba mibovu. Alichofanya - ambacho ndicho kitu Trump anafanya sasa- ni kuitoa Bolivia katika international conventions ambazo Bolivia ni signatory kwanza, mikataba hii ndiyo inashurutisha nchi kufanya hivi na vile etc.Ukishajitoa katika hizo conventions, then unaweza kuvunja mikataba na makampuni.
Magufuli kavunja mikataba na makampuni kabla ya kujitoa katika conventions. Wawekezaji wanamcheka kwa ujinga wake.
Inawezekana kabisa wamechimba mchanga mpaka umekwisha, sasa unakwisha, Magufuli anavunja mkataba, deal lao linaendelea sasa watalipwa kwa sababu Magufuli kavunja mkataba hata kama mchanga umeisha.
Executive power ya rais haina nguvu kwa wawekezaji wenye mikataba ya kimataifa, atashitakiwa London na kushindwa kesi na kuambiwa alipe fidia. Waziri wa Magufuli alikwenda Mgodini na kumtisha James Sinclair KI Magufuli Magufuli kwamba atafunga mgodi, James Sinclair akamwambia "Go ahead, make my day, nitakupiga daflao la "Force Majeure" ushindwe kujua nini kimekupiga.
Waziri akanywea sikusikia kumfuatilia Sinclair
Nimekuelewa sana. Ila nitajibu kwa kifupi.
1.London or wherever si ndo MABWANA na sisi ni WATWANA.
Naamini wakati umefika Makampuni ya KIGENI KUDHIBITIWA KISHERIA.
Kile Mh. Rais anachokifanya ni KUZIBA NYUFA na loopholes zilizofanya Tanzania ifike mahali ilpo sasa. UNAPOFIKA KIJIJINI KWENU huwa UNAJISIKIAJE wakati unapowaona wananchi ama jirani zako wa kiwa katika UMASKINI mkubwa?
Mimi hukasirika sana. Let me be honest.
Kama hauguswi na maisha ya watu kijijini mwako. No CLEAN WATER, No Hope, No nothing then wewe una tatitizo tena kubwa sana.
Inauma sana kuwa sasa Tanzania ni miaka zaidi ya 50 na ingali Maskini. Wakati Tanzania na KOREA KUSINI walikuwa na kiwango sawa cha chini KIUCHUMI mwaka 1961 na UMASKINI mwingi.
MBONA WAO sasa WALIJIKWAMUA NA kufanikiwa?
Siri ni kuwa walipogundua MAKOSA yao WAKAREKEBISHA na sasa wako ulimwengu wa kwanza.
Whether Magufuli ataitwa NATIONALIST ama POPULIST then let it be as long as tunajikwamua na udanganyifu kama huu.
Nchi kama Tanzania leo tungekuwa DONORS lakini baadhi ya waliopewa dhamana ya kulinda mali na raslimali yetu ndo WALIOTUANGUSHA. Heri tuokoe/SALVAGE anything that could be salvaged.
Ni kweli ulivyosema kuhusu COLLECTIVE RESPONSIBILITY. Lakini ujue katika system ambayo Tanzania inaelekea KUIBADILISHA muda si mrefu ilikuwa ya YES sir katika kila jambo. Nakubaliana kuwa we have to change things KABISA.
Wakati ule ukitoa ushauri KINYUME cha MTAWALA wewe unaonekana uko kinyume chake.
Kama ni wewe what would you have done?
Hapa una watoto unasomesha, Hapa unatakiwa na familia yako uweke ugali Mezani. Mwishowe anajisemea tu Ah! Haizulu. Acha waendelee. Huo ni mtazamao wangu binafsi by the way. Na haya ni yangu mwenyewe jinsi ninavyoyaangalia.
I stand to be corrected!
Kuhusu kujitoa kwenye ma conventions,ni kweli kuna wakati mwingine ni VIZURI kujitoa Katika hizo. Lakini hili HALIHUSIKI na conventions bali ni INVESTMENTS/UWEKEZAJI wa Makampuni Binafsi na SI SERIKALI NA SERIKALI.
hIVYO BASI INTERESTS/MASLAHI yetu ni lazima ya supersede/ Yazidi maslahi mengine yasiyo na tija kwa taifa letu. Regardless of hullabaloos za Makampuni.