Katika hili Magufuli uwe DIKTETA

JIBU ni rahisi. Katika serikali kuna WATU wengi. Mawaziri wa WIZARA hizo za MADINI katika kipindi chote WACHUNGUZWE na kuchukuliwa hatua bili kujali kuwa yeye ni wa CCM ama mjomba wa CCM. Maana Ufisadi hauna CHAMA.Then WAWEKEZAJI nao washughukikiwe.
Tupo pamoja.
 
Kuna jambo nimekumbuka. Je SAUTI ya vyama vya UPINZANI iko wapi katika jambo hili la
Masuala ya UCHUMI wetu?
Ama mtazamo wao kuhusu taifa KUIBIWA mali ya Watanzania HALIWAHUSU?

Tunaibiwa vipi?, tunachoibiwa ni mikataba mobovu tuliyosiani sio kwa issue ya mchanga
 
Mi nilikwambia inote ile tarehe, sijapata muda mzuri wa kuandika ndio naandika na ntaweka humu na ntakuquote, please note ile tarehe
Ahsante mkuu. Ni kubadilishana mawazo nini tukifanyekama taifa.
 
Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.

Udikteta peleka Rwanda na Uganda huko
 
Back
Top Bottom