- Thread starter
- #161
Swali hili limeulizwa sana. Lakini nitajibu kulingana na kitabu kitakatifu Biblia ambacho kinasema. Wakati Mungu alimuumba mwanadamuwa Kwanza Adam na EVA aliwapa masharti ili wa yatimize.Kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?
Kama yupo at all?
Lakini WAKADANGANYWA na baba wa uongo SHETANI naye akwa MTAWALA wa dunia. Ndo maana MAOVU yanayofanyika yanafanyika kwa uongozi wa Baba wa uongo.
ISIPOKUWA wale WALIOMWAMINI YESU shetani HANA mamlaka juu yao maana WAO WANATAWALIWA na ufalme wa NURU ya Mungu kupitia ushindi wa Yesu msalabani na KUFUFUKA kwake.
Ndo maana WALOKOLE HAWAOGOPI WACHAWI na WALA nguvuza UCHAWI. Maana damu ya Yesu ina nguvu kuliko majini na mashetani na mkuu wao ambaye ni Shetani.