Nakumbuka Idd Amini wakati anapindua nchi na kuchukua madaraka Kule Uganda alianza Kama mtetezi wa nchi, wananchi na hasa wale wa hali ya chini na alionyesha upendo Mkubwa sana kwa Waganda alionyesha uso wa huruma pale alipotembelea Wagonjwa Hospitali na ikabidi awafukuze nchini RAIA wa kigeni kwa kuwataja Kama wezi wanaoiibia nchi. Sass tujiulize je uDikteta unaoutaka wewe mleta mada unajua madhara yake? Kama hauyajui waulize waganda.
Mkuu,Huwezi kumfananisha Rais Magufuli na Idd Amin.
Nakumbuka Idd Amini wakati anapindua nchi na kuchukua madaraka Kule Uganda alianza Kama mtetezi wa nchi, wananchi na hasa wale wa hali ya chini na alionyesha upendo Mkubwa sana kwa Waganda alionyesha uso wa huruma pale alipotembelea Wagonjwa Hospitali na ikabidi awafukuze nchini RAIA wa kigeni kwa kuwataja Kama wezi wanaoiibia nchi. Sass tujiulize je uDikteta unaoutaka wewe mleta mada unajua madhara yake? Kama hauyajui waulize waganda.
Huwezi KUMFANANISHA RAIS Magufuli na Idd Amini kwa sababu zifuatazo.
1. Iddi Amini hakuwa na ELIMU yeyote hata ile ya shule ya chekechea/ alikuwa ILLITERATE- Wakati Rais Magufuli ni MSOMI mwenye PhD. Hivyo reason ing ya Idd Amin ilikuwa ni CHINI sana.
2. Idd Amin kwa sababu alijua watu WALIJUA kuwa HAKUSOMA, hivyo basi akaanza VITA na WASOMI wote maana alifikiri WASOMI wanapotoa ushauri walikuwa wanataka kumtoa uongozini sababu ya illiteracy yake/Kutosoma kwake.
3. Idd Amin alikuwa na ugonjwa wa kisaikolojia wa PARANOID LOW SELF ESTEEM na INSECURITY combined na hivyo kila mtu alimwona ni TISHIO na ni SUSPECT/MTUHUMIWA aliyetaka kumwondoa madarakani.
Akaanza kuuwa watu ovyo ovyo ikiwemo WASOMI WENGI tu.
Hata MAKASISI wa MAKANISA Hawakusazwa.
Jana IKULU kulikuwa na VIONGOZI wa DINI. Huoni utofauti?
Magufuli ni OPPOSITE kabisa na Idd Amin.
1. Ana HIGH SELF ESTEEM/ANAJIAMINI.
2.Hana INSECURITY yeyote maana wananchi wako nyuma yake.
3.HAJAUA WASOMI bali amejaribu sana KUWATUMIA WASOMI. Tofauti sana na AWAMU zilizopita. Ili kujaribu KUBORESHA utendaji wa kazi SERIKALINI MWAKE.
Hivyo basi Rais Magufuli na Idd Amin ni kama MAJI na MAFUTA huwezi kuwalinganisha hata kidogo.