Wana JF kulingana na ripoti iliyotolewa leo na tume ya rais kuhusu MCHANGA ambao kwa miaka 17 tumekuwa tukiibiwa kama nchi ukiwa na MADINI mbali mbali na kuwa undervalued ili tuibiwe, IMEKASIRISHA sana kila mtu.
Katika hili sitakuwa nimekosea kumwomba Magufuli awe DIKITETA MZURI/BENEVOLENT dictator.
Aina hii ya UDIKTETA huwa INAKUBALIKA maana huwa ni ya mtu anayetaka kuwafanyia WANANCHI wake MAZURI kwa MANUFAA ya taifa lake.
Tunaweza kuiga mfano wa aliyekuwa mwanzilishi wa taifa la Singapore. "Lee Kuan Yew"
Yeye aliwafukuza kazi na hata KUWAFUNGA JELA RAFIKI zake na jamaa zake waliojihusisha na UFISADI.
Na kuiweka nchi yake katika ulimwengu wa KWANZA/ First world na kipato kikubwa zaidi ya baadhi ya nchi za ULAYA.
Ni nini kilichomsaidia? Ni udikteta mzuri. Hakuwa na huruma.
Jambo la kwanza KABLA ya yote FREEZE/ZIFUNGE ACCOUNT zao zote za WATUHUMIWA zilizo na FEDHA NYINGI ambazo source yake ni ya MASHAKA.
Magufuli ukicheka na mtu Tanzania HAITABADILIKA.
Kuagiza vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi ni vizuri. Lakini KUFUATILIA na KUTENDEA kazi MAAGIZO yako hilo nalo ni lingine.Things should start rolling ASAP& NOW!
Mfano mwingine ni ule wa juzi Juzi wa Rais mpya wa Gambia ame FREEZE Dola millioni 50 zilizokuwa ZIMEIBIWA na rais aliyetoka madarakani Jammeh.
Ukitaka nchi INYOOKE. Ni VIZURI Watanzania waanze kuona MALI ZAO na FEDHA zao zilizoibiwa ZIKIRUDISHWA serikalini. BILA kuwa na HURUMA huyu ni mtoto wa nani ama alikuwa nani.
Usipokuwa DIKTETA mzuri sasa basi Tanzania HATUTAPATA MWINGINE tena.
WACHACHE watalia lakini MAMILIONI ya Watanzania WATAKUPENDA na kusema UMETUOKOA.
Mungu IBARIKI Tanzania na Rais Magufuli