Taarifa zilizo rasmi ni kuwa katibu mkuu wa BAKWATA mkoani Arusha Sheikh Abdukarim Jonjo amejeruhiwa kwa Bomu usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba akiwa amelala nyumbani kwake.
Tayari yupo amelazwa Hospitali ya Mount Meru anapatiwa Matibabu.
My Take: Hivi hizi silaha kweli zimezagaa kiasi hiki..
Duh! SIAMINI! BOMU chumbani halafu mtu yuko mzima? hiyo ilkuwa ni BARUTI ya njiti za kiberiti