ARUSHA: Basi la Esther Coach laua na kujeruhi mmoja

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Mtu mmoja,Joshua Mashauri (27)Mkazi wa Sekei jijinj Arusha,amekufa na mwingine yupo mahututi katika hospitali ya Mkoa Mount Meru, baada ya kugonjwa na basi la Esther Luxury Coach.

Tukio hilo ambalo limethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, limetokea jana jioni katika eneo la Sanawari jijini Arusha ambapo watu hao waligongwa wakati wakijaribu kuvuka na mmoja kukanyagwa kichwa na ubongo kumwagika .

Hata hivyo majina ya majeruhi hayakuweza kujulikana mara moja na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika chumba cha maiti katika hospitali hiyo.

Lakini katika hali isiyo ya kawaida basi hilo baada ya kufikishwa kituo cha polisi liliruhusiwa kuendelea na safari muda mfupi, kinyume na taratibu za polisi zilizozoeleka ,kufanyia uchunguzi tukio kama hilo.
 
Nafukiri pale mwenye makosa ni dereva na ndie walitakiwa wabaki nae ili kufanya uchunguzi na kubaini kama mwenye makosa ni walio gongwa ama dereva, hivyo bus kuachiwa na kuendelea na safari ilikua ni sahihi sababu anaweza akaja dereva mwingine na akaendelea na safari.
Kumbuka bus linapo shikiliwa kituoni na lina abiria, hilo ni kosa kisheria kwasababu abiria wanatakiwa waendelee na taratibu za makubakiano ta kusafurishwa.
 
Nafikiri hivi ndivyo ilivyotokea changushangaza mleta mada kataja jina la waziri sasa sijui limehusiana vipi.Labda alitaka hilo bus lilale hapo kituoni!!!
 
Mtu mmoja,Joshua Mashauri (27)Mkazi wa Sekei jijinj Arusha,amekufjembe Jembe! Hapo huyu waziri anahusika vp au yeye ndio alikuwa anaendesha gari! Umeshindwaje kujua jina la dereva pimbi wewe!a na mwingine yupo mahututi katika hospitali ya Mkoa Mount Meru, baada ya kugonjwa na basi la Esther Luxury Coach linalomilikiwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba.

Tukio hilo ambalo limethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, limetokea jana jioni katika eneo la Sanawari jijini Arusha ambapo watu hao waligongwa wakati wakijaribu kuvuka na mmoja kukanyagwa kichwa na ubongo kumwagika .

Hata hivyo majina ya majeruhi hayakuweza kujulikana mara moja na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika chumba cha maiti katika hospitali hiyo.

Lakini katika hali isiyo ya kawaida basi hilo baada ya kufikishwa kituo cha polisi liliruhusiwa kuendelea na safari muda mfupi, kinyume na taratibu za polisi zilizozoeleka ,kufanyia uchunguzi tukio kama hilo.
Jembe Jembe! Umeshindwaje kujua jina la dereva hadi umtaje mmiliki! Kwani yeye ndio alikuwa anaendesha hilo basi! Jaribu kuficha ujinga wako
 
Nafukiri pale mwenye makosa ni dereva na ndie walitakiwa wabaki nae ili kufanya uchunguzi na kubaini kama mwenye makosa ni walio gongwa ama dereva, hivyo bus kuachiwa na kuendelea na safari ilikua ni sahihi sababu anaweza akaja dereva mwingine na akaendelea na safari.
Kumbuka bus linapo shikiliwa kituoni na lina abiria, hilo ni kosa kisheria kwasababu abiria wanatakiwa waendelee na taratibu za makubakiano ta kusafurishwa.
Kampuni kubwa inatakiwa walete basi jingine liwafaulishe abiria.
Mbona yakidakwa na magendo Huwa hayaachiwi wabaki na dereva
 
Nafukiri pale mwenye makosa ni dereva na ndie walitakiwa wabaki nae ili kufanya uchunguzi na kubaini kama mwenye makosa ni walio gongwa ama dereva, hivyo bus kuachiwa na kuendelea na safari ilikua ni sahihi sababu anaweza akaja dereva mwingine na akaendelea na safari.
Kumbuka bus linapo shikiliwa kituoni na lina abiria, hilo ni kosa kisheria kwasababu abiria wanatakiwa waendelee na taratibu za makubakiano ta kusafurishwa.
Acha kutupa upumbavu hapa,wewe umejuaje kuwa dereva ndiye mwenye makosa?ukiambiwa bus halikuwa roadworthy utasemaje?,middle class Tanzania ni pasta kichwa, uwezo wao wa kufikiri ni shida, ni makosa kwa bus kuruhusiwa kuendelea na safari bila ya roadworthy report, je abiria walifanyiwa concelling?,au ndio mambo ya pithole country
 
Mkuu regardless ya yote ukiombwa ushahidi kuwa Madelu anamiliki hii kampuni unaweza kuutoa?
 
Mtu mmoja,Joshua Mashauri (27)Mkazi wa Sekei jijinj Arusha,amekufa na mwingine yupo mahututi katika hospitali ya Mkoa Mount Meru, baada ya kugonjwa na basi la Esther Luxury Coach linalomilikiwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba.

Tukio hilo ambalo limethibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, limetokea jana jioni katika eneo la Sanawari jijini Arusha ambapo watu hao waligongwa wakati wakijaribu kuvuka na mmoja kukanyagwa kichwa na ubongo kumwagika .

Hata hivyo majina ya majeruhi hayakuweza kujulikana mara moja na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika chumba cha maiti katika hospitali hiyo.

Lakini katika hali isiyo ya kawaida basi hilo baada ya kufikishwa kituo cha polisi liliruhusiwa kuendelea na safari muda mfupi, kinyume na taratibu za polisi zilizozoeleka ,kufanyia uchunguzi tukio kama hilo.
Mtu mmoja,Joshua Mashauri (27)Mkazi wa Sekei jijinj Arusha,amekufa na mwingine yupo mahututi katika hospitali ya Mkoa Mount Meru, baada ya kugonjwa na basi la Esther Luxury Coach linalomilikiwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu regardless ya yote ukiombwa ushahidi kuwa Madelu anamiliki hii kampuni unaweza kuutoa?
Kwani Kuna ubaya waziri akimiliki Basi?
Umeandika Kama vile Ni kosa kwa waziri kumiliki Mali.
Visiku vyako....
 
Back
Top Bottom