Katibu wa BAKWATA Arusha alipuliwa bomu

unajua hii dini yetu mbofombofu ina matatizo mengi,yawezekana alikuwa analivaa maana kuua na kujiua kwetu ni ufahari,
 
katibu mkuu wa BAKWATA arusha ajeruhiwa kwa kulipuliwa na bomu na watu wasiojulikana usiku wa saa saba,walivunja kioo cha nyumba yake na kumrushia bomu akiwa amelala nyumbani kwake.


source:Wapo Radio FM.

dhambi ya ubaguzi inawatafuna sasa."religion of peace"
Acha Imani potofu lini utakua!!
 
wameteketeza makanisa Zenji,Tunduru, mbagala na Kigoma Wakristo wakasema hawalipizi kisasi bali watamshtakia Mungu, leo wamegeukana wao kwa wao
1.Walimpiga sheikh wa Tunduru hadi kalazwa
2.Wametekana Arusha na kukatana maskio huku wakitishia kukatana hadi vichwa
3.Leo tena wamelipuana na mabomu, A religion of peace. what is a next move..?
 
Ni chuki mbaya sana km tumefikia mpaka kupigana na mabomu basi nchi salama kabsaaa!! PolisiCCM ni km hawapo kabsaaa
 
hhilo bomu limetoka wapi ?
1. alikua nalo likamlipukia
2. Niwatu wamemlipua
3. je kulikua naugonvi

ningumusana kuelewa ama ndo wezetu washaanza kuwa na mabomu na sasa limemuumbua mwenyewe?
Tanzania tunako elekea siokuzuri kabisa hinidalilimbaya sana
 
Bora waangamizane tu. Hawana faida wala mchango wowote katika maendeleo ya taifa letu.
 
Wana JF wana tatizo moja kubwa sana tena sana
ni watu wanaotaka mabadiliko lakini wanasahau kuwa
ILI MBEGU IOTE LAZIMA IOZE KWANZA pia ILI MTOTO
APATIKANE NI LAZIMA NGUO ZIVULIWE - Ahsanteni.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Unajua Mzee Jk aliona haya kitambo,, ndo maana alisema dhambi ya kubagua wengine huwa haiishi mkimaliza kuwabagua hawa, mtajigundua na ninyi si ninyi bali kuna wale, so dhambi itazidi kuwatafuna mpaka utajikuta katika familia bado ww na mkeo kunatofauti, alafu inahamia kwenye uzao wenu vivyo hivyo.
Ushauri wangu:Serikali itizame masuala haya kwa umakini mkubwa waweke siasa pembeni kwanza naamini hatujafikia kipindi cha kupoteza Amani yetu, watumie hizo zinzoitwa intelligence Agency walizo nazo hata Usalama wa taifa, kuwasaka na kuwasambaratisha kabisa hao wanaotaka kuwachafulia waislamu walio wengi tena wastaarabu.

Leo asubuhi ndani ya daladala kuna jamaa mmoja alikuwa anaongea ovyo akizungumzia mausuala ya machafuko na hata masuala yaliyosababisha vurugu zile zilizotoke majiuzi mbagala, anasema hivi nanukuu "sasa tuone tarehe moja kama Ponda hatotoka ndani maana tumeandaa maandamano nchi nzima kupinga uonevu anaofanyiwa Ponda na wenzake tuangalie hiyo serikali inanguvu kiasi gani."
Mzee mmoja mwenye busara akamwambia ww kwanza nakuona ni ujana unakusumbua tena hujui uzuri wa utawala wa sheria, nchi ikikosa utawala wa sheria ww utakuwa wakwanza kuwa mkimbizi juzi tuu uliwaona wenzako k/koo walivyofanywa siku ile mpaka kesho yake ukimsalimia mtu "Asalam alekyumu anajibu Milele amina" hiyo tarehe moja naamini hata mkisalimiwa hamtajibu kabisa kwani serikali imeshawachoka ni vizuri mmepanga ili iwe mwisho naaamini hamtarudia tena.
 
Ni mwanzo tu wa kile nilichowahi kusema hapa jf kuwa tutarajie sporadic violence or sporadic attack baada ya kuzima maandamano ya waislamu.
 
Hii issue ya Arusha inahusu makundi mawili yanayogambania Msikiti na mali zake.. Na ni mgogoro wa muda mrefu ambao Serikali Mkoani Arusha walikuwa wanaudharau.. Leo umefikia hapo kulipuana na mabomu.. Viongozi wa usalama wa mkoa wa Arusha wanaendelea na kazi zao..! Hii nchi haina neno la uwajibikaji kwenye kamusi yake.. Damn..
 
Hayo ndo Matokeo ya gazeti la AL-NUUR na Radio Imaan.
Aaaa...sio Matokeo ya magazeti yenu ya Nyakati na Msemakweli, Radio Maria,Radio Tumaini, Tv ATN, Tv Tumani na Tv Trenit
Wewe umekalili tu za Waislam kweli udini umekutalawa.
 
Katibu wa BAKWATA mkoani Arusha bwana AbdulKarim Jonjo usiku wa kuamkia leo amelipuliwa kwa bomu nyumbani kwake eneo la Esso jijini Arusha hivi sasa yuko hoi katika hospitali ya Mount Meru.

Chanzo: Wapo Radio

kwel sasa hali imeshakuwa mbaya nchini,kama kwel ni bomu,that will be an Act of Terror!
 
Back
Top Bottom