Katibu wa BAKWATA Arusha alipuliwa bomu

Taarifa zilizo rasmi ni kuwa katibu mkuu wa BAKWATA mkoani Arusha Sheikh Abdukarim Jonjo amejeruhiwa kwa Bomu usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba akiwa amelala nyumbani kwake.

Tayari yupo amelazwa Hospitali ya Mount Meru anapatiwa Matibabu.

My Take: Hivi hizi silaha kweli zimezagaa kiasi hiki..

Duh! SIAMINI! BOMU chumbani halafu mtu yuko mzima? hiyo ilkuwa ni BARUTI ya njiti za kiberiti
 
Hazijazagaa ila siku ya majibizano na hawa polisi mchwara ndo itajulikana kama zimezagaa au la pale vidifenda vyao vitakapowaka!
Tunaanza na mmojammoja...kwanza turekebishane adabu wale wanafki wote halaf ndo tuamie kwa makafiri sasa...

acha lugha za dharau wewe sasa KAFIRI ni nani sasa??. Basi wewe kafirwa je ukiitwa hivyo unaonaje ,unajisikiaje?? Namashaka sana na upeo wako wa kufikili??
 
Too bad.. People killing, People die and Children hurts.. where is the love? Kikwete Kikwete Kikwete.....:whistle:
 
Utawala wa kikwete lazima uingie kwenye list ya nchi zinazosapoti ugaidi duniani kwa kuwalea sana ndugu zake katika dini
 
this sound ... Muslims kills the'are fellow muslims...... Buta hawachelewi kusema mfumo kristo ngoja Ami na Mkandara ( muslim who enjoy life in america) waje hapa

Wagalatia wameanza kulipiza kisasi cha makanisa kuchomwa huko Mbagala!!! Wamesahau mafundisho ya Bwana Yesu ukizabwa kofi shavu la kulia basi geuza shavu la pili!!!!
 
Sababu ni nini?Naanza kupata wasiwasi,manake hawa CCM wana mbinu nyingi.Usishangae ukasikia
waliofanya ni wakristo wakilipiza kisasi cha kuchomwa makanisa ili kuendelea kutugawa kwa misingi ya dini.
 
Katika mwendelezo wa kinachoonekana kugombania mali za msikiti na uongozi.
 
Kama serikali imekuwa DHAIFU kupitiliza na kuacha akina Ponda na hili tawi lao la Boko Haram kumiliki mabomu basi sasa hivi Tanzania inakuwa Somalia, hata Al Shabaab walianza hivi hivi. Tutegemee kupigwa sana mabomu kwa usalama huu wa Taifa unaoshugulika na siasa badala ya issues kama hizi za kiusalama
 
Teknolojia ya kutengeneza mabomu imesambaa kiasi hicho tayari??????

Mbona rahisi sana mkuu! Chukua chupa weka Petroli na utambi halafu liwashe tupa ndani uone nini kitafuata!
 
Hawa jamaa sasa wameanzia kwa viongozi wa wa mikoa wa hii jumuiya ya chama chetu baada ya kumshindwa kiongozi wa Taifa.
 
Back
Top Bottom