Katibu wa BAKWATA Arusha alipuliwa bomu

Katibu wa BAKWATA Arusha alipuliwa bomu

katibu wa bakwata mkoani arusha bwana abdulkarim jonjo usiku wa kuamkia leo amelipuliwa kwa bomu nyumbani kwake eneo la esso jijini arusha hivi sasa yuko hoi katika hospitali ya mount meru.

chanzo: wapo radio

nimesikia kua ni simu ya kichina. Si dhani kama ni bomu. Maana saa hii angekua hana kichwa au ulimi. Au aliamua kununua bomu ili ajihami likamlipukia kwenye majaribio?
 
Ni dni PEKEE duniani inayoua Waumini wake kwa Mabomu wakisali msikitini na wasio Waislamu wakisali kwa Malipo toka kwa ALLAH.
 
Wawindane wenyewe kwa wenyewe wasiingize na wakristo wasiohisika humo
 
Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha ndugu Abdulkarim Jonjo ameelipuliwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu.
Hayo yalitokea juzi umeme ulipokua umekatika ndipo watu wanaosadikiwa kuwa wa kikundi cha ARUSHA MUSILIM UNION (AMU). Kutumia nafasi hiyo kutupa kitu hcho kupitia dirishani wakati bwana huyo akiwa amelala usiku wa saa sita.
Kwa sasa ndugu Jonjo amelazwa ktk hospitali ya Mkoa ya Mount Meru kutokana na majeraha aliyopata.
Mungu akupe nguvu upone haraka. uploadfromtaptalk1351258175485.jpg
 
Imenichukua muda kuchangia mada hii, hata hivyo nina shauri uchunguzi wa kina ufanyike katika hili hasa kutokana na picha niliyoona kwenye tv ikionyesha sehemu ya ukuta iliyobomoka, ingawa mimi sio investigator, lakini ukuta ule ulionyesha kuwa tundu lile ni dogo kwa ndani na kubwa kwa nje, hivyo kwa uelewa wangu wakati mwingi kitu kama bomu au risasi inapoanzia inakuwa ni ndogo na kuwa kubwa pale inapotokea, sasa je hakuna uwezekano kuwa kitu hicho kilianzia ndani na kutoka nje? Pia wapelelezi waangalie kwa upande wa vioo vingi viko ndani au nje ya nyumba.
 
Nafikiri uchunguzi wa kina ufanyike, hasa kama kuna uwezekano wa kuwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu kilitoka wapi, je ni nje au ndani? kwani kwa mujibu wa picha niliyoona kwenye tv, tundu limeonekana ni kubwa kwa nje kuliko ndani, sasa kwa kitu kama bomu au risasi mara nyingi huanza na nafasi ndogo na kuwa kubwa inapotokea. Lakini pia ichungzwe kwa upande wa vioo vingi vimedondoka nje au ndani.
 
Hazijazagaa ila siku ya majibizano na hawa polisi mchwara ndo itajulikana kama zimezagaa au la pale vidifenda vyao vitakapowaka!
Tunaanza na mmojammoja...kwanza turekebishane adabu wale wanafki wote halaf ndo tuamie kwa makafiri sasa...

Mhhhhh!!!!! akina ponda wengi kumbe! lol
 
kontena la nyama za ngamia toka Saudia badala ya kuligawa bure kwa waumini wa mkoa wa Arusha, yeye kauza so wamempa discpline. pole yake sana!! nikitoka kuwapiga lecture ya role of christian theology in human development wanafunzi hapa Makumira nitapitia kumsalimia na kumuongoza sala ya toba aokoke
 
ficha upumbavu wako,

inamaana hujasikia chanzo ni kugombea msikiti? au umeamua kuwa kiziwi?!

Watakuwa wanalipiza kisasi yalio tokea mbagala...

Maaskofu waliwaambia msilipizie tunahitaji amani...

Kesi ipo mahakamani msijichukulie Sheria mikononi
 
quote_icon.png
By njiwa

Watakuwa wanalipiza kisasi yalio tokea mbagala...

Maaskofu waliwaambia msilipizie tunahitaji amani...

Kesi ipo mahakamani msijichukulie Sheria mikononi
Mnatamani kweli walipize kisasi...na jinsi watu wanavyozidi kuwapotezea mnazidi kuwashwa...
 
nimesikia kua ni simu ya kichina. Si dhani kama ni bomu. Maana saa hii angekua hana kichwa au ulimi. Au aliamua kununua bomu ili ajihami likamlipukia kwenye majaribio?

............waswahili wanarukia mambo tuu ! hand grenade angechubuka vidole ?..........ule ni utani kusema bomu. Hata angelipukiwa na jiko la mchina kwa ukaribu ule asinge kunywa uji saa hii !:confused2:
 
Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha ndugu Abdulkarim Jonjo ameelipuliwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu.
Hayo yalitokea juzi umeme ulipokua umekatika ndipo watu wanaosadikiwa kuwa wa kikundi cha ARUSHA MUSILIM UNION (AMU). Kutumia nafasi hiyo kutupa kitu hcho kupitia dirishani wakati bwana huyo akiwa amelala usiku wa saa sita.
Kwa sasa ndugu Jonjo amelazwa ktk hospitali ya Mkoa ya Mount Meru kutokana na majeraha aliyopata.
Mungu akupe nguvu upone haraka.View attachment 69437

Dah! aisee! Mshikaji kaumia jamani. Vipi macho yake yamepona kweli? Pole sana mkuu Katibu wa jumuia Ambayo Imehujumu na kurudisha maendeleo ya waislamu miaka zaidi ya hamsini.
 
Leo nimethibitishiwa kuwa KATIBU BAKWATA alijilipua mwenyewe ili kuwashikisha àdabu wapinzan wake. Mpaka sasa yeye ndo mtuhumiwa.
 
y ajilipue? kuna mtu hapendi uhai wake? migogoro ya kidini kati ya bakwata na answaar ni ya nn? mola aliibariki wapi?
 
Back
Top Bottom