PreGE2025 Katibu Mkuu TEC, Rev Dkt. Charles Kitima: Wasitupangie cha Kusema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni jukumu lako kuchagua kwenda Kanisani au kutokwenda! Lakini Uovu lazima ukemewe,ndiyo kazi ya Watumishi wa Mungu kuukemea!
WEZI,Wanyanganyi,Wazinzi,Wachawi,Waongo,WAUAJI,nk hawataurithi Uzima wa Milele mahali pao ni katika ziwa la moto,
1 Wakorintho6:9-10
Ufunuo21:8
Wajifunze kukemea kwa usawa.....kusiwe na double standards; itakuwa kulinajisi hata hilo neno lenyewe. Milele watakaa katika ziwa la moto wafitini
 
Ni jukumu lako kuchagua kwenda Kanisani au kutokwenda! Lakini Uovu lazima ukemewe,ndiyo kazi ya Watumishi wa Mungu kuukemea!
WEZI,Wanyanganyi,Wazinzi,Wachawi,Waongo,WAUAJI,nk hawataurithi Uzima wa Milele mahali pao ni katika ziwa la moto,
1 Wakorintho6:9-10
Ufunuo21:8
Kuna shida sasa hivi dunia inaingia kanisani kuingiza mahubiri badala ya kanisa kutoka na mahubiri kanisani na kuyapeleka duniani

Wahubiri kama Moses Kulola wafufuke tu waje kuhubiri tena waliokuwa wakijua vizuri kazi ya kuhubiri ni nini tofauti na baadhi ya wa sasa ukiwemo wewe wanaoamini kuhubiri ni kuongea yale wanasiasa wanasema kisha kupokea sadaka za waumini na kwenda kula na kulala

Mungu akuhurumie kwa kweli.Umepoteza mwelekeo kabisa
 
Kama ni kwa sababu ya udini tu na chuki ya ukanda kama hivi; TUTAENDELEA KUBAKI SALAMA SALMINI NA ATAZOLEWA YULE MNAFIKI NA MBAGUZI WA KIDINI.......Na Kuna upande nao umeshashindwa kuvumilia huu ujinga; nao unasubiri muda muafaka useme lake kwa waumini wake.

Kuna watu hawana Nia njema na nchi hii!
Kwani wewe unaishi nchi gani hata usielewe kinachovuruga nchi kwa sasa hivi, na urukie tu habari za UDINI?
Kuhimiza uwepo uchaguzi HURU, na kila mpiga kura atumie HAKI ya kumchagua anayetaka amwongoze, huo unakuwa UDINI?

"Chuki za ukanda" ni zipi; ukanda gani dhidi ya upi?

"MUTAENDELEA KUBAKI SALAMA SALIMINI..." kwa vipi? Hivi huoni ujuha mnaoufanya kukimbilia udini, wakati nyinyi wenyewe ndio unaowaendesha. Hivi bado hujui kuwa watu wametambua ulaghai na udanganyifu wa siku nyingi mlioufanya kupumbaza wengine?

Huo upande unaosema nao umeshindwa kuvumilia ujinga, hujui kuwa waowalikwisha toa msimamo toka awali kwa kuhimiza AMANI isiyo ambatana na HAKI; maigizo ambayo yanasemwa vilevile na CCM?

Kama kuna watu wasiokuwa na nia njema na nchi hii kama unavyosema wewe, ni Samia na genge lake anayetaka kuitumbukiza nchi hii katika janga, ambalo hata yeye hatatoka salama.
Mwonye kungali mapema. Msijifiche kwenye UDINI na kuutumia kuwa kinga ya kutuvuruga. Tanzania hii ni muhimu zaidi ya hizo imani zenu za kulaghai watu. Mnaweka dini mbele wakati nyinyi ni wakala wa shetani.
 
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.

View attachment 3319115
Watasema kuwafurahisha maana ndicho makamanda wanapenda mwisho wa siku hata yeye kura atapiga mahesabu na majumuisho ccm kashinda kwhiyoooo tumeibiwa anaitwa kusoma maombi ya kumuapisha raisi ngonjera zake zimekwisha maisha yanaendelea...
 
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.

View attachment 3319115
Padri Dr. Ni mwanachadema kinda kindaki namfahamu alikuwa boss wangu SAUT mwaka 2010 nikipiga KAZI pale Kwa muda mfupi.Mi naona agombee ubunge tumnyooshe
 
Kuna shida sasa hivi dunia inaingia kanisani kuingiza mahubiri badala ya kanisa kutoka na mahubiri kanisani na kuyapeleka duniani

Wahubiri kama Moses Kulola wafufuke tu waje kuhubiri tena waliokuwa wakijua vizuri kazi ya kuhubiri ni nini tofauti na baadhi ya wa sasa ukiwemo wewe wanaoamini kuhubiri ni kuongea yale wanasiasa wanasema kisha kupokea sadaka za waumini na kwenda kula na kulala

Mungu akuhurumie kwa kweli.Umepoteza mwelekeo kabisa
Umepoteza mwelekeo wewe ambae unashuhudia wazi sheria zikivunjwa, haki za binadam zikipokwa, demokrasia ikisiginwa lkn uko kimbelembela kusifia na kushangilia mradi tonge liende kinywani...hata wale wenye wajibu wa kukemea dhambi na uovu unataka wawe na akili kama zako wasifu tu na kutukuza udhalimu
 
Bwana yule alipigwa pini bana, zilikua za hatari hatari kutoka kila pande, zikawepo account special, minyaraka ikawa inavuja, kashfa, matusi, kejeli. Instagram/Twitter ikajizolea wafuasi lukuki, wengi waliona fahari kufanya ama kumfanyia hivyo. Sikumbuki vilio vya UDINI vilikuwepo zaidi watu walijikita kushambulia hadi wapate ushindi, na kama vilio vya UDINI vilikuepo sina hakika ilikua kiwango gani, Je kuna waliopata ushindi na sasa hawana haja ya kuendelea na mapambano?
 
Utakuwa ulihama nchi. Mkatoliki gani hahukosolewa. JPM alipigwa spana za kueleweka kama alivyopigwa Nyerere. Awamu ya JMT5 TEC walitoa waraka kama kawaida yao.

Kwa kumbukumbu tu, JPM alipigwa spana na maaskofu alakaanza kuwapa kesi za uraia kama alivyofanya kwa askofu Niwemuguzi kwa kumpokonya passport kisingizio cha uraia.
Vipindi vyote vya utawala wa wakatoliki wenzao hawajawahi kukemea lolote kwa nguvu hivi Wala kutoa kauli za kimamlaka, "Waachiwe mara Moja na bila masharti". UNAFIKI MTUPU.

Mungu humlinda anayefitiniwa!!!
 
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.

View attachment 3319115
Wakristo wamekuwa consistent sana kwenye utetezi wa haki na usimamizi wa maadili ya jamii. Wamekuwa wakikemea kila uovu unaotendeka kwa viongozi wa umma.

Shida iko wa waislam. BAKWATA imekuwa baraza la machawa. Ni tawi la waislamu ndani ya serikali linalolinda maslahi ya serikali. Bakwata inabariki kila uovu unaotendeka ili kuitetea serikali.
 
KITIMA.........NI ......MOTO...............KEMEA WEZI WA KURAAAAA HAO
 
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
Haya Bibi awajibu tena keshokutwa kwenye Mei Mosi kama ana nguvu
 
Wakristo wamekuwa consistent sana kwenye utetezi wa haki na usimamizi wa maadili ya jamii. Wamekuwa wakikemea kila uovu unaotendeka kwa viongozi wa umma.

Shida iko wa waislam. BAKWATA imekuwa baraza la machawa. Ni tawi la waislamu ndani ya serikali linalolinda maslahi ya serikali. Bakwata inabariki kila uovu unaotendeka ili kuitetea serikali.
tatizo wanapenda ubwabwa na ndizi.......yaani .wanachanganyikiwa ukiwapa ubwabwa na ndizi.....
 
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.

View attachment 3319115
Jesca Magufuli...Baada ya Kifo cha Baba marafiki wamepungu
 
👍👍👍
 
Back
Top Bottom