Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,440
- 15,482
Huyu ni father wa hovyo tu. Hana lolote.Asante na Hongera sana Fr. Kitima.
Hii ndo iwe lugha ya Kanisa kwenye ibada zote nchi nzima.
CCM wametugeuza wapumbavu sana. Enough is enough.

Unafikiri ni kama shehe ubwabwa huyu.Huyu ni father wa hovyo tu. Hana lolote.
Sasa hapo kanisan utahubiri kondoo au nn,maana hao unawahubiria ndio wanaumizwa,wengine wamekufa,Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Unavuta bangi Wewe!!!Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Wizi wa kura ni siasa? Utekaji na mauaji holela ni siasa? Ufisadi ni siasa? Kusema uwongo na kubatiza ile tume jina la Tume huru ni siasa?Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Afadhali umenisaidia kujibu..kajamaa kutwa kuchwa kanajitutumua kuandika pumba.Sijui unapata wapi nguvu na muda wa kuandika takataka kama hii hapa, kutwa/kucha, na kila siku!
Sasa elewa tu kwamba hakuna litakalo wasalimisha safari hii. Mtazolewa tu na tsunami kama hamtaingiwa na akili vichwani kungali mapema.
Huyu ni kampeni meneja wa Lissu katika uchaguzi wa 2020 ni mwanasiasa kamili nyuma ya pazia tofauti na baadhi ya maaskofu wanaoanza na kumaliza siasa zao juu ya mimbari siku za Jumapili.Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
View attachment 3319115
Hao wakenya na waganda ambao wanafananishwa na binadamu kwa akili zao wanaionea wivu Tanzania kwa kila kitu.
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.
View attachment 3319115
Kutoa zaka na sadaka hakukufanyi kuwa mkatoliki kindaki ndaki bwana, wangapi wanatoa zaka na sadaka kubwa tu tena wahudhuruhaji wazuri jumuia, kila event za kanisa yet hawajiiti kindaki ndaki?Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!
Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake ya CHADEMA.
Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe
Makanisani kuna ufisadi mkubwa tu. Kanisa linashindwa kumaliziwa kwa miaka mitano na zaidi na waumini kwa sababu ya kutoruhusiwa kuhoji wanasali wakiwa wamenuna.Kutoa zaka na sadaka hakukufanyi kuwa mkatoliki kindaki ndaki bwana, wangapi wanatoa zaka na sadaka kubwa tu tena wahudhuruhaji wazuri jumuia, kila event za kanisa yet hawajiiti kindaki ndaki?
Kazi koja wapo ya kanisa la kristo ni kukumea mauvu kwenye jamii, Bwana wetu yesu kristu alifanya hivyo, mitume wake walifanya hivyo, na miaka kwa miaka, ww ni nani kushambulia established society kama catholic ?
huo ufisadi nani alichunguza? Unapoongelea kanisa ku dhehebu, kila dheheb lina waumini wake, na waumini ni uti wa mgongo wa kanisa husikaMakanisani kuna ufisadi mkubwa tu. Kanisa linashindwa kumaliziwa kwa miaka mitano na zaidi na waumini kwa sababu ya kutoruhusiwa kuhoji wanasali wakiwa wamenuna.
Hizo kamati za ujenzi za makanisa zimejaa wezi wa kwenye mashirika ya umma na taasisi za kiserikali wanahamisha wizi ule ule kwenye nyumba za ibada.
Wacha UONGO wewe chawa/kada wa sisiemu.Vipindi vyote vya utawala wa wakatoliki wenzao hawajawahi kukemea lolote..
😀😀😀Sema wa RC sio wakristo wote, huku Lutheran hamna kitu yule mnyakyusa malasusa ni mpiga deal
Nabii Nathani alimkemea Mfalme Daudi waziwazi, Samuel pia alimkea Mfalme Sauli, Yohane Mbatizaji alimkemea Herode. Hii ni sauti ya kinabii.Kuna shida sasa hivi dunia inaingia kanisani kuingiza mahubiri badala ya kanisa kutoka na mahubiri kanisani na kuyapeleka duniani
Wahubiri kama Moses Kulola wafufuke tu waje kuhubiri tena waliokuwa wakijua vizuri kazi ya kuhubiri ni nini tofauti na baadhi ya wa sasa ukiwemo wewe wanaoamini kuhubiri ni kuongea yale wanasiasa wanasema kisha kupokea sadaka za waumini na kwenda kula na kulala
Mungu akuhurumie kwa kweli.Umepoteza mwelekeo kabisa
Mkuu fanyia kazi hoja wa Watumishi acha ubishiMakanisani kuna ufisadi mkubwa tu. Kanisa linashindwa kumaliziwa kwa miaka mitano na zaidi na waumini kwa sababu ya kutoruhusiwa kuhoji wanasali wakiwa wamenuna.