PreGE2025 Katibu Mkuu TEC, Rev Dkt. Charles Kitima: Wasitupangie cha Kusema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna shida sasa hivi dunia inaingia kanisani kuingiza mahubiri badala ya kanisa kutoka na mahubiri kanisani na kuyapeleka duniani

Wahubiri kama Moses Kulola wafufuke tu waje kuhubiri tena waliokuwa wakijua vizuri kazi ya kuhubiri ni nini tofauti na baadhi ya wa sasa ukiwemo wewe wanaoamini kuhubiri ni kuongea yale wanasiasa wanasema kisha kupokea sadaka za waumini na kwenda kula na kulala

Mungu akuhurumie kwa kweli.Umepoteza mwelekeo kabisa
soma maandiko ELIYA ALIMFUATA MFLAME AHABU KWA WIZI ALIOKUWA AMEUFANYA WA KUPORA SHAMBA LA MTU,AKAMKEMEA NA KUMWADHIBU,WEWE UNAONGEA PUMBAAAA
 
Watu smart hawajawahi kuikubali CCM.
Sema wengi wao ni woga. Wanahofia hatima zao hivyo uamua kukaa kimya!

Asante viongozi wa imani kubali kupinga dhambi.
Hasa POLISi, wako tayari kubeba fedheha na kejeli kisa Tu kuilinda CCM. Halafu baadae wakilewa wanasema " oogh Mimi ndio nimekuweka madarakani" Yaani hivyo tu
 
Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa

Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.

Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.

Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda

Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja

Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?

Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.

Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani

Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election

Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Kwani umewahi kupewa kadi ya mualiko wa kwenda kanisani?
 
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.

View attachment 3319115
Hii ndio misingi ya kanisa,akina Paulo,Yohane,Petro,Mathayo hawakuuawa kwa kuwa kimya bali kwa kuhubiri neno la Mungu na kokosoa watawala.Kanisa limelilea hili taifa haliwezi leo kuambiwa likae pembeni kwamba liwaache wafanya wao watawala wafanye watakavyo kama alivyosema Rais.Rais atapita kanisa na Taifa vitabaki.JPM aliharibu mifumo ya utawala madhara yake hadi leo Rais ni de facto Queen.
 
📌
Amenena vyema,
Mbona wakisifiwa na kupongezwa na viongozi wa dini machawa huwa hawalalamiki kuwa siasa imeingiliwa?

Ila wakikosolewa kuhusu matendo yao ya ufisadi, wizi wa uchaguzi, kuonea wananchi, kuteka, kuwabambikia kesi za uongo, nk, wanang'aka kuwa wasiingiliwe kwenye siasa!

Kwani siasa ni uhalifu?!
CCM ni wataalamu wa kujizima data na uhalifu wa haki za binadamu eti wanahubiri amani

Kujizima data - kuahirisha kufikiri kizalendo

Kunyamaza siyo amani naweza kunyamaza kwakupenda mwenyewe ama kwa kunyamazishwa

Swali je jamii itaendelea kunyamaza hadi lini

Silence surrenders public responsibilities

Kunyamaza ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii
 
Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa

Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.

Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.

Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda

Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja

Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?

Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.

Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani

Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election

Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Bado hujalifahamu andiko.Mtu akijeruhiwa kwenye siasa hukimbilia kanisani kutafuta faraja akishaipata anarudi ulingoni.Fikiria mtu kama Lissu,Mrisho Gambo au akina Nape,Makamba wakati ule wa JPM, anaenda kanisani Padre anasoma neno lina anasikia neno linasema

"usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu"

Hamjui tu viongozi wa siasa mchana wanasema viongozi wa dini mtuache jioni yupo kwa Padre kuomba baraka achaguliwe na kusema madhaifu ya wakubwa wake.
 
Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa

Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.

Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.

Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda

Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja

Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?

Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.

Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani

Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election

Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja

Wewe ni mjinga mwingine aliyemalizwa akili na unafiki!!

Hivi wizi haukemewi kwenye makanisa, misikitini na mitaani? Kwa sababu unakemewa mitaani, watu wasiende kusali wala kuswali kwa sababu wataenda kuambiwa yale yale? Wewe inaonekana ni mpagani usiyejua kanisani au msikitini, watu wanaenda kufanya nini.

Kwa sababu hujui lolote, basi nikufundishe kidogo tu kwa kifupi, kinachofanyika makanisani:

1. Kumwomba msamaha Mungu kwa yale tuliyoyafanya ambayo hayampendezi Mungu.

2. Kumwabudu, kumtukuza na kumsifu Mungu

3. Kushiriki sakramenti ya upatanisho.

4. Kuupata ujumbe wa Mungu kupitia neno lake na mahubiri ya waliowekwa wakfu.

5. Kumshukuru Mungu kwa yote aliyotujalia.

Kwa akili yako, hayo yote huwa anayafanya Lisu kwenye hotuba zake mtaani? Pole sana kwa kuharibiwa akili.
 
Kama ni kwa sababu ya udini tu na chuki ya ukanda kama hivi; TUTAENDELEA KUBAKI SALAMA SALMINI NA ATAZOLEWA YULE MNAFIKI NA MBAGUZI WA KIDINI.......Na Kuna upande nao umeshashindwa kuvumilia huu ujinga; nao unasubiri muda muafaka useme lake kwa waumini wake.

Kuna watu hawana Nia njema na nchi hii!
Kwamba reform haina maana ama watawaambia nini.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Vipindi vyote vya utawala wa wakatoliki wenzao hawajawahi kukemea lolote kwa nguvu hivi Wala kutoa kauli za kimamlaka, "Waachiwe mara Moja na bila masharti". UNAFIKI MTUPU.

Mungu humlinda anayefitiniwa!!!
Mnafiki mkubwa wewe. Kausome ule waraka wa TEC na wa KKKT wakati wa utawala wa Magufuli.

Acheni uwongo, acheni unafiki, acheni ushetani, mjawe na ukweli mioyoni mwenu. Uwongo na ushetani wa kuua na kuteka watu hautanyamazisha vinywa vinaoukemea uovu.
 
Kwani wewe unaishi nchi gani hata usielewe kinachovuruga nchi kwa sasa hivi, na urukie tu habari za UDINI?
Kuhimiza uwepo uchaguzi HURU, na kila mpiga kura atumie HAKI ya kumchagua anayetaka amwongoze, huo unakuwa UDINI?

"Chuki za ukanda" ni zipi; ukanda gani dhidi ya upi?

"MUTAENDELEA KUBAKI SALAMA SALIMINI..." kwa vipi? Hivi huoni ujuha mnaoufanya kukimbilia udini, wakati nyinyi wenyewe ndio unaowaendesha. Hivi bado hujui kuwa watu wametambua ulaghai na udanganyifu wa siku nyingi mlioufanya kupumbaza wengine?

Huo upande unaosema nao umeshindwa kuvumilia ujinga, hujui kuwa waowalikwisha toa msimamo toka awali kwa kuhimiza AMANI isiyo ambatana na HAKI; maigizo ambayo yanasemwa vilevile na CCM?

Kama kuna watu wasiokuwa na nia njema na nchi hii kama unavyosema wewe, ni Samia na genge lake anayetaka kuitumbukiza nchi hii katika janga, ambalo hata yeye hatatoka salama.
Mwonye kungali mapema. Msijifiche kwenye UDINI na kuutumia kuwa kinga ya kutuvuruga. Tanzania hii ni muhimu zaidi ya hizo imani zenu za kulaghai watu. Mnaweka dini mbele wakati nyinyi ni wakala wa shetani.
Duniani kote hakuna chaguzi huru, mambo mengine yamefichwa. Viongozi wengi mfumo unakuwa ndio umewataka. Wamejilidhisha kuwa nchi itakuwa salama. Nchi zina maadui wengi, inaweza kutokea maadui wana penyeza watu wao kwa kigezo cha kuchaguliwa.
Issue kubwa kwa nchi yetu, watu wa mfumo wabadilike watuletee watu wenye uchungu na maendeleo ya nchi yetu. Na pia wathibiti matumizi yasiyo na mhimu kwa taifa.
 
Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasiku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa

Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.

Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.

Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda

Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja

Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?

Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.

Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani

Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election

Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
 
Na vipi kuhusu biblia inayosomwa kwa kurudia miaka na mikaka? Hiyo haikushawishi usiende kanisani; maana hakuna jipya linalohubiriwa? Au kinachokukera ni kusikia kauli ‘No Electiom, No Reform’ ikirudiwa mara kwa mara?
 
soma maandiko ELIYA ALIMFUATA MFLAME AHABU KWA WIZI ALIOKUWA AMEUFANYA WA KUPORA SHAMBA LA MTU,AKAMKEMEA NA KUMWADHIBU,WEWE UNAONGEA PUMBAAAA
Yeye hakutumwa hayo unajua kilichomkuta ? Alitorokea porini na kuacha unabii kabisa baadavya Jezebeeli kutangaza kuwa atamuuua na akagoma kuendelea kuwa nabii akamwambia Mungu hataki tena

Mungu akasema sawa kakabidhi kazi kwa Elisha wewe ondoka duniani tena haraka akapaa mbio

Yohana Mbatizaji pia alitumwa kuhubiri ubatizo uletao toba akaacha hilo lake alilopewa na Mungu akaenda kwenye kukemea wanasiasa akeanda kumkemea mwanasiasa Herode

Na Herode akamuua kwa kumkata kichwa

Kuna red line kati ya Kanisa na siasa ambayo kila upande unahitaji kubaki kwenye line yake

Manabii wana ruka ruka na kuvuka mstari ni at their own risk .Ulinzi wa Mungu huwa hauko guaranteed huko wanakorukia nje ya mipaka ya wito

Zamani mapdre walikuwa watu wa kushinda sehemu za upweke na kwenye monastery wakisali sana na kufanya kazi huko huko maeneo ya kanisani walipo ukiwaona mtaani wana kanzu zao wanaenda kuzika au kumpa mtu mpako wa wagonjwa basi tena hawi peke yake.Kaongozana na watumishi wa kanisa.Walikuwa na utisho wa kuheshimika hasa.Ukimuona padre mtaani ni kama umeona mungu.Akisema kitu watu wanatii tena kwa unyenyekevu mkubwa

Sasa hivi mapadre wamezagaa mitaani kwenye mabaa,ma guest house na kwenye vijiwe vya umbeya wa siasa nk wakisikiliza ya vijiweni mitaani wapate vya kuhubiri kanisani huku wakiwa wamevaa kiraia tu sio kanzu wala na misalaba tena..
Mapadre hawafugiki misheni aunjwenye parokia wamekuwa kama kuku wa kienyeji wanazurura hovyo mitaani na vijiweni .Nao hao ndio wanakuwa maaskofu inatisha

Heshima haipo tena wanabezwa ns wsumini hadi kwenye vigango na jumuiya

Padre anaonekana ni msela tu ambaye kachagua tu njia ya kupata riziki ni kupitia upadre lakini si anaonekana wa heshima kivile kama wa zamani
Kanisa lijitathmini.Hixi sauti za watu kutaka kanisa likae mbali na siasa zina hoja
 
Na vipi kuhusu biblia inayosomwa kwa kurudia miaka na mikaka? Hiyo haikushawishi usiende kanisani; maana hakuna jipya linalohubiriwa? Au kinachokukera ni kusikia kauli ‘No Electiom, No Reform’ ikirudiwa mara kwa mara?
No reform no election sio neno la Mungu nitajie kwenye Biblia liko kitabu kipi cha Biblia ,Sura ipi na Mstari upi? Hadi askofu au padre au mchungaji alikomalie kwenye mahubiri?
 
Majibu ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Rev Dkt. Charles Kitima baada ya kuulizwa kuhusu sakata la viongozi wa Dini kuonekana wanachanganya Dini na Siasa pale ambapo wanatoa matamko kuhusu mambo mbalimbali ya kiutawala yanayoendelea nchini. Amesema;

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kukemea wizi sio kuingilia siasa, Kwani wizi ni siasa? Mwizi wa kura ni sawa na mwizi mwingine, Kukemea utekaji na vitendo viovu ni kukemea dhambi. Wasitupangie cha kusema tunakemea dhambi.

View attachment 3319115
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!

Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake ya CHADEMA.

Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe
 
Back
Top Bottom