katiba mpya ya chitchat

Mi si ndio mwenyekiti wa pccb chitchat aya leta barua niiweke ktk file
Sasa si ungetangaza bana kuliko kuninyima cheo kabisa mkuu Chimbuvu hata nakupeleka pccb ya chit chat kwa kula rushwa
 
Last edited by a moderator:
Baba V

naona ujumbe mzima wa huu uzi upo kwenye aya ya mweisho mstari waaaaa...sorry sikumbuki ila umetaja vocha!

Oni langu kwa katiba: wazee wote watafutiwe jukwaa lao kwa mfanooo.....
 
BAGAH umesema..!!?? ngoja niwaite wazee wenzangu Asprin, Mtambuzi, babu DC Dark City , Bishanga e.t.c , tuje tutoe kauli juu ya kauli yako, kumbuka unatishia ustawi wa interesiti za wazee.....
 
Last edited by a moderator:
mweshimiwa kwani kuna ubaya mkiwekewa jukwaa lenu?

Khaa..!! we huoni ubaya, nauliza huoni ubaya!?? labda kama hilo jukwaa liwe lediz frii, nani hapendi kupishana na akina Asnam, YNNAH (sorry Judgement), Chocs, Kipipi, na wengineo huku...!?? wacha kabisa maneno hayo, tena angalieni nitatoa maamuzi ya kiti juu ya mustakabali wenu... ohooo...!!
 
Last edited by a moderator:
Hellooooo
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1370407409321.jpg
    uploadfromtaptalk1370407409321.jpg
    60.2 KB · Views: 25
Khaa..!! we huoni ubaya, nauliza huoni ubaya!?? labda kama hilo jukwaa liwe lediz frii, nani hapendi kupishana na akina Asnam, YNNAH (sorry Judgement), Chocs, Kipipi, na wengineo huku...!?? wacha kabisa maneno hayo, tena angalieni nitatoa maamuzi ya kiti juu ya mustakabali wenu... ohooo...!!

samahani mweshimiwa siku moja moja tukakuwa tunawatupia wale wanao expr huku cc.
 
Last edited by a moderator:
BAGAH umesema..!!?? ngoja niwaite wazee wenzangu Asprin, Mtambuzi, babu DC Dark City , Bishanga e.t.c , tuje tutoe kauli juu ya kauli yako, kumbuka unatishia ustawi wa interesiti za wazee.....

Baba V asante kwa kujaza nafasi iliyoachwa wazi..kwa kuwataja wazee wa Jf!ukiwemo ww!nilijua ni dent wa kigonsela.!

bamdogo Paw kanielewa.so subiria vitendo!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Mi si ndio mwenyekiti wa pccb chitchat aya leta barua niiweke ktk file

Asa wewe Chimbuvu unataka ugomvi kila side ya mwenyekiti ni wewe utataka sasa mpaka na mwenyekiti wa ukaguzi
BAGAH habari za utokako maana uendako ni giza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom