katiba mpya ya chitchat

mi nimetelekezwa zaidi ya miezi miwili
huyu Baba V haoni malalamiko yangu,khaaa!!

umemuona Chimbuvu anaomba hela ya vocha hadharani wakati mi nimeshajitangazia kuwa niko mikononi mwa Pedeshee halafu yeye anaomba vocha ya Jero.... Hivi kweli atanifaa huyu ndugu yangu... Mbona kama machale kunndesa!
 
Last edited by a moderator:

mi mwenyewe natafakari hapa
shemeji fogo kuomba voja ya jero?
we pima mwenye kisu kikali ndio huyo huyo wa
kudumu wengine zugia tu!!
 
Samahani mbona sioni
Ibara ya.....
Kipengele cha......

Sijaelewa kabisa TUME HURU hakuna humo mi naona hiyo katiba yenu ni batili kabisa hata SERIKALI YA MUUNGANO wa CHIT na CHAT hakuna...
Mh..chimbuvu ngoja nikajiandae na maandamano ya kuipinga katiba hii..
 
Mtoto apa tulia wewe,kama ni kuoga utaoga maziwa,miguu yako mafuta utapaka blueband, ama siagi,mikono utanawa na grandmalta,grants utaoshea gari,vijana wakikuona mke wa pedeshee na katibu wa katiba mpya watakukimbia ,, Slave wazee akina Baba V wakikuona watanyamaza kimya kwa kuwa wewe ndio taa yao,ndio miguu kwa wajane,mikono kwa serikali

umemuona Chimbuvu anaomba hela ya vocha hadharani wakati mi nimeshajitangazia kuwa niko mikononi mwa Pedeshee halafu yeye anaomba vocha ya Jero.... Hivi kweli atanifaa huyu ndugu yangu... Mbona kama machale kunndesa!
 
Last edited by a moderator:
umemuona Chimbuvu anaomba hela ya vocha hadharani wakati mi nimeshajitangazia kuwa niko mikononi mwa Pedeshee halafu yeye anaomba vocha ya Jero.... Hivi kweli atanifaa huyu ndugu yangu... Mbona kama machale kunndesa!
wahi huku fasta kabla msimu wa mavuno haujaisha.
 
Back
Top Bottom