Basi basi mupenzi
Hamia Airtel fasta before it's too late.
kwa sasa nasherehekea mavuno na lengedingi dongotingitanga na evelingiting songolongotingi.
Welcome to my life baby.
asante sisy!!kikao cha familia
kiitishwe ili Ruttashobolwa aseme
kajichimbia wapi,nimechoka kua lonely!!
Mwambie muasi manoah
Daddy watu8 please do the needful suitably!!!!!!!
morning darling....!! Mbona leo umewahi kuamka hivyo kulikoni? Au ndio kuwahi bungeni cc?
Bunge la wapi? Kaamka lukwili kwenda kung'oa jino!
Aah mpenzi haya majukumu yaani we acha tu.nipe kiss la kuamkia asubuhi kwa afya
morning darling....!! Mbona leo umewahi kuamka hivyo kulikoni? Au ndio kuwahi bungeni cc?