katiba mpya ya chitchat

Spika wa bunge chitchat Madame B mkuu wa protokali chitchat manoah mwenyekiti wa cc mahusiano Baba V
rais wa shirikisho la chitchat nchini Arushaone na waheshimiwa wengine,
napenda kutoa maoni ya wanachi wa chitchat kuhusu katiba mpya na mamlaka ya tume ya katiba mpya chini ya Ruttashobolwa kama ifuatavyo
1. mwenyekiti mahusiano awe anachaguliwa kila baada ya miezi 4,kwa sasa kiti anacho Baba V
2.mishahara ya walinzi wa chitchat iboreshwe eg. @st. pakamweusi
3.shindano la miss chitchat lirudishwe chini ya udhamini wa Watu 8 na lundenga
4.Ndoa za JINSIA MOJA MARUFUKU eg. ...........
5.ZINDUNA TALK SHOW ibinafsishwe iwe CHARMINGLADY talkshow baada ya muhusika kufilisiwa na saccos
6.wananchi wawe na uwezo wa kupiga VOTE OF NO CONFIDENCE kwa mwenyekiti wa mahusiano
7.Rais ana mamlaka ya kuwavua mamlaka wote walio chini yake na kuwapiga BAN na kumteua Chimbuvu kuwa kiongozi wa mpito
8.DR. Slaa wa chitchat manoah ambaye anataka kumng'oa Baba V apewe ulinzi shirikishi baada kuvamiwa na majambazi na kula chakula chote.

zaidi ya hapo nimeleta haya maoni myazungumzie kabla hatujaiwasilisha kwa rais mteule Arushaone kwa kuwekewa sahihi ili iwe katiba mpya rasmi.
ndugu waheshimiwa na tuvocha msisahau kuniwekea katika simu sio kubip tu wajameni
karibuni kwa maoni yenu katiba mpya mnataka iweje

Naunga mwili mzima hoja!!!! :smile:
 
Last edited by a moderator:
tena kwenye katiba hapo hapo kaongezwe ka kifungu ka hivi !! mwanaume atakae mtelekeza mke wake zaidi ya siku mbili basi ruhsa kutaifishwa teh! teh teh!teh!

cc Lady doctor Mr Rocky Erickb52

Hii copy nina wasi wasi nayo Slave
Halafu Chimbuvu mbona nilikupa rushwa ya kuniweka kwenye uongozi wakati wa majadiliano ya rasimu hii ya katiba umeyakataaa mapendekezo yangu
 
Last edited by a moderator:
Huu ndio mwanzo halafu kale kaela hakakutosha

Hii copy nina wasi wasi nayo Slave
Halafu Chimbuvu mbona nilikupa rushwa ya kuniweka kwenye uongozi wakati wa majadiliano ya rasimu hii ya katiba umeyakataaa mapendekezo yangu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chimbuvu, viongozi, wajumbe waalikwa, guests ambao hamjajiunga JF (na kwanini msijiunge while is free?), mabinti na wanaume wa kiumeni, heshima kwenu.

Niko hapa JAPAN naangalia jinsi wanavyounda magari, Waziri mkuu Mh. Mungi atoe mwongozo.
 
Last edited by a moderator:
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom