katiba mpya ya chitchat

1.Kuwe na majimbo,na viongoz wa majimbo wahakikishe kila mwisho wa mwaka tunakutana wanachitchat wote...

2.Pia mwenyekit aweke orodha ya wanawake walio single pamoja na wanaume ili kuepuka kung'oaana meno na kucha.

3.Katiba ishinikize couples kupeana no za sil ili waweze kuona nin kinaendelea kwenye PM hii itaboreshe hati miliki.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mh... namba 1 na 2 naunga.mguu hoja.. ila 3 ngumu kumesa aiseeee!!!!
 
Hii copy nina wasi wasi nayo Slave
Halafu Chimbuvu mbona nilikupa rushwa ya kuniweka kwenye uongozi wakati wa majadiliano ya rasimu hii ya katiba umeyakataaa mapendekezo yangu

yaani unavyowaza ndivyo vp nikuweke kwenye kamati gani ? Wewe ni mtu muhimu sana.
 
Last edited by a moderator:
Slave umeanza kunena kwa lugha au hapo juu macho yangu yana kengeza
 
Last edited by a moderator:
yaani unavyowaza ndivyo vp nikuweke kwenye kamati gani ? Wewe ni mtu muhimu sana.

Slave kamati ya skreening na uchunguzi wa mabinti wapya wanaosajiliwa chit chat na kiwapitisha na kupitisha ndoa mpya za humu ndani
 
Last edited by a moderator:
Vipingamizi vya ndoa viruhusiwe kuzuia watu kuolewa mara mbili au kuoa mara mbili
 
naona ujumbe mzima wa huu uzi upo kwenye aya ya mweisho mstari waaaaa...sorry sikumbuki ila umetaja vocha!

Oni langu kwa katiba: wazee wote watafutiwe jukwaa lao kwa mfanooo.....
 
Hii itapita hii

Back
Top Bottom