katiba mpya ya chitchat

katiba mpya ya chitchat

Chimbuvu ni mgonjwa wangu na mimi ni daktari wake madame B kanikabidhi nimtibu

Najua ulikula kiapo kabla hujapewa badge ya u-doctor kuwa hutobagua wagonjwa. Nami naumwa sana, nahitaji huduma yako. DO THE NEEDFUL.
 
naomba usinizoee kiasi hicho jua nakuheshimu sana usitake nilete majanga hapa watu wanaongea wenyewe wewe unasalandia mie inanihuuuu! mtu yuko na lady mwingine wwewe umekomalia ladyfurahia unanitaka nini mtoto wa watu mie nitake radhi sasa hivi la sivyo nitapeleka hoja hii katika rasimu mpya!
Chimbuvu anatongozana na lady furahia
 
Last edited by a moderator:
naomba usinizoee kiasi hicho jua nakuheshimu sana usitake nilete majanga hapa watu wanaongea wenyewe wewe unasalandia mie inanihuuuu! mtu yuko na lady mwingine wwewe umekomalia ladyfurahia unanitaka nini mtoto wa watu mie nitake radhi sasa hivi la sivyo nitapeleka hoja hii katika rasimu mpya!

halafu waambie wakome kufananisha lasivyo nitawachoma sindano kwenye mmguu mdogo
 
Last edited by a moderator:
naomba usinizoee kiasi hicho jua nakuheshimu sana usitake nilete majanga hapa watu wanaongea wenyewe wewe unasalandia mie inanihuuuu! mtu yuko na lady mwingine wwewe umekomalia ladyfurahia unanitaka nini mtoto wa watu mie nitake radhi sasa hivi la sivyo nitapeleka hoja hii katika rasimu mpya!

Kha! Nakuona kabisa umeshikilia spana ya kung'olea kucha.....ngoja nisepe.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom