johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,147
Hiki kikundi cha Wahuni huko bungeni au kingine?? Hawa wanaotumia Polisi na Usalama wa Taifa kufanya uharamia kwenye uchaguzi? Hawana hio moral authorityEid El Adha!
Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.
Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Na chadema imeshasema haikubali wabunge wa ccm waileteEid El Adha!
Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.
Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Chadema ni sehemu ya CCM!Na chadema imeshasema haikubali wabunge wa ccm wailete
Eid El Adha!sawa.
KUMBUKA CCM NI MKOLONI HIVYO Hata KATIBA ILIYOPO MKOLONI ALISEMA HIVYO HIVYO LAKINI TANU IKALETAEid El Adha!
Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.
Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Kwahiyo Chadema ni sawa na Tanu?!KUMBUKA CCM NI MKOLONI HIVYO Hata KATIBA ILIYOPO MKOLONI ALISEMA HIVYO HIVYO LAKINI TANU IKALETAView attachment 1861803
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kwakuwa ni mawazo na mtazamo wako john , tumekusikia ila hatuja kuelewa, inatakiwa katiba mpya. Uovu unaoendelea ukome.Eid El Adha!
Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.
Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Leo posho imetoka?Eid El Adha!
Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.
Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Lazima tuidai, huyu dikteta wa kike ni hatari kuliko shetaniKwakuwa ni mawazo na mtazamo wako john , tumekusikia ila hatuja kuelewa, inatakiwa katiba mpya. Uovu unaoendelea ukome.
Ndiyo maana wanatumia polisiNa chadema imeshasema haikubali wabunge wa ccm wailete
Kikundi cha majangiliHiki kikundi cha Wahuni huko bungeni au kingine?? Hawa wanaotumia Polisi na Usalama wa Taifa kufanya uharamia kwenye uchaguzi? Hawana hio moral authority
Naona wanafuraha tele,tena kazimaalumu waliyopewa ni kufurahia uonevu kwa wengine.Leo posho imetoka?
CCM ipo hoiChadema wanaipush CCM ilete katiba
Huyo ni babu mzima lakini hana bomaNaona wanafuraha tele,tena kazimaalumu waliyopewa ni kufurahia uonevu kwa wengine.
Eid El Adha!
Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.
Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Nasubiri kutuma mchango wa wakili Mwanza!Leo posho imetoka?