Katiba mpya italetwa na CCM siyo Chadema

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,566
Eid El Adha!

Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.

Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Hiki kikundi cha Wahuni huko bungeni au kingine?? Hawa wanaotumia Polisi na Usalama wa Taifa kufanya uharamia kwenye uchaguzi? Hawana hio moral authority
 
Eid El Adha!

Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.

Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
KUMBUKA CCM NI MKOLONI HIVYO Hata KATIBA ILIYOPO MKOLONI ALISEMA HIVYO HIVYO LAKINI TANU IKALETA
20210716_160047.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Eid El Adha!

Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.

Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Kwakuwa ni mawazo na mtazamo wako john , tumekusikia ila hatuja kuelewa, inatakiwa katiba mpya. Uovu unaoendelea ukome.
 
Eid El Adha!

Niwakumbushe ndugu zangu watanzania bara na visiwani kwamba Chadema au chama chochote cha upinzani hakiwezi kuleta katiba mpya.

Katiba mpya italetwa na CCM katika muda muafaka.

Nawasalimu kwa jina la JMT!

Ccm itawajibika kushiriki kwenye katiba mpya bila kupenda, hivyo cdm wakikaa kimya katiba mpya haitakaa ipatikane. Hadi sasa ujumbe wa katiba mpya unawafikia vizuri sana wananchi. Na ccm wako kwenye wakati mgumu maana hili ni dai halali.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom