Wadau,
Napotaka kuoa kipi ni kigezo muhimu zaidi kati ya sura na shepu?
ONYO: Usilete maelezo yako binafsi kuhusu TABIA. Maana tabia ya binadamu ni inabadilika kama hali ya hewa.
Pia binadamu ni muigizaji kwa tabia.
Tabia ya binadamu inategemea mazingira, umri na zama, hivi vyote vinabadilika.