Kati ya sura na shepu kipi zaidi?

Kati ya sura na shepu kipi zaidi?

Mkazo zaidi kwenye sura, japo siku hizi imekuwa changamoto. Kuna jamaa alisema kabla hujaoa usawa huu, ni vyema kufanya uchunguzi wa maana kwa sababu wanao watafanana na mkeo kabla ya plastic/cosmetic surgery.
 
ripped-abs-only-way-six-pack_0.jpg
watoto wa kike wanapenda sana hii kitu 6pacs sema kuipata ndo inshu inahitaji juhudi sana
 
Unaifanya sura au?!shepu ndo kila kitu weweeee!!
 
Wadau unapotaka kuoa kipi ni kigezo muhimu zaidi kati ya sura na shepu?

ONYO: Usilete maelezo yako binafsi kuhusu TABIA. Maana tabia ya binadamu ni inabadilika kama hali ya hewa.

Pia binadamu ni muigizaji kwa tabia.

Tabia ya binadamu inategemea mazingira, umri na zama, hivi vyote vinabadilika.
Ukweli ni chura jamani,wewe angalia tu hata mtaani apite dada mwenye chura lake na mwenye sura mvuto,wengi watageuka kuchek chura!!
 
Nimependa ONYO hilo aisee.

Sura vs shape. Ila sura muhimu
 
Wadau unapotaka kuoa kipi ni kigezo muhimu zaidi kati ya sura na shepu?

ONYO: Usilete maelezo yako binafsi kuhusu TABIA. Maana tabia ya binadamu ni inabadilika kama hali ya hewa.

Pia binadamu ni muigizaji kwa tabia.

Tabia ya binadamu inategemea mazingira, umri na zama, hivi vyote vinabadilika.
Hizi ni pumba!
unapotaka kuoa kila kitu kinakuwa factored in! tabia, sura, shape, familia anayotoka ina reputation gani, magonjwa ndani ya familia etc!
kama tabia zinabadilika aliyesema shape na sura hazibadiliki nani?
swali lako halikutakiwa kuwa na ndoa, ilikuwa just nini kinakuvutia kwa mwanamke kati ya sura na shape!
kwa mvuto tu, vyote viwili vina maana!
shape, hata mwanamke akikupa kisogo, akiwa na shape nzuri macho kodooo itahusika sana tu!
na kuna wanawake wakikutazama utapenda waendelee tu!
a balance btn shape na sura ni muhimu sana! class inajengwa na vyote!
extreme ya kila kitu sio nzuri, yaani shape mbayaaaa sura nzuriiii huwa haina mashiko!
na shape nzuriiii sura mbayaa haina tija!
 
Sura ndiyo habar kamili mana unaweza kuta dem anashep nzur ila sura kama sakafu kiasi kwamba mpaka unakosa hisia na kutumia hisia za demu mwngine ndo mnara uwake
 
Back
Top Bottom