Kati ya sura na shepu kipi zaidi?

Kati ya sura na shepu kipi zaidi?

Wadau,

Napotaka kuoa kipi ni kigezo muhimu zaidi kati ya sura na shepu?

ONYO: Usilete maelezo yako binafsi kuhusu TABIA. Maana tabia ya binadamu ni inabadilika kama hali ya hewa.

Pia binadamu ni muigizaji kwa tabia.

Tabia ya binadamu inategemea mazingira, umri na zama, hivi vyote vinabadilika.
Unadhani mudy alimpendea nini aisha?
 
Wadau,

Napotaka kuoa kipi ni kigezo muhimu zaidi kati ya sura na shepu?

ONYO: Usilete maelezo yako binafsi kuhusu TABIA. Maana tabia ya binadamu ni inabadilika kama hali ya hewa.

Pia binadamu ni muigizaji kwa tabia.

Tabia ya binadamu inategemea mazingira, umri na zama, hivi vyote vinabadilika.
Personal, naanzaga kuangalia kifua, yaani nyonyo, afu mguu ukifuatiwa na kimo, nikimaanisha awe mrefu lastly sura. Tako Sina shughuli nalo.
 
Back
Top Bottom