JF ctaki tuHahahahaha...kwann?!
Wapi unataka sasa?!JF ctaki tu
matende hapanaWanaosema sura wanashepu za makabati...ki2 churaaaaaaa hips na miguu minene milaini..
Sasa huo mnara si utakua unasoma mpaka 7G mkuu maana kila upitako unaona vimwana wenye sura za ukweli.Shape inaleta sana raha,ukimtazama tu mnara unasoma
huko nje najizuwia japo huwa nashangaa kdogo knyume na maamrisho ya alieniumba,ila ndani akiwa anavua we umejilaza ktandan,halafu aje ulipo..achana tu,unaona kama anawahi kufikaSasa huo mnara si utakua unasoma mpaka 7G mkuu maana kila upitako unaona vimwana wenye sura za ukweli.
Shape kubwa sura ya kawaida (isiwe mbaya) is enoughWadau,
Napotaka kuoa kipi ni kigezo muhimu zaidi kati ya sura na shepu?
ONYO: Usilete maelezo yako binafsi kuhusu TABIA. Maana tabia ya binadamu ni inabadilika kama hali ya hewa.
Pia binadamu ni muigizaji kwa tabia.
Tabia ya binadamu inategemea mazingira, umri na zama, hivi vyote vinabadilika.
ChaiiiKwakweli sura ndo yenye mvuto halisi wa mtu.
HahahaSura haina maana shepu ndy mpango mzima, mfn.mwanamke unakuwa na sura nzuri halafu shapu ka nyigu