deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Wote wana fursa za kujiajiri, inaegemea tu na capital uliyokuwa nayo.Habari,
Aisee niende kwenye swali,
Ivi kati ya Programmer na IT yupi mwenye fursa nyingi za kujiajiri na kuajiriwa, na endapo wataajiriwa yupi ambae atapokea kiasi kikubwa cha mshahara kupita mwenzake???
cc. Chief-Mkwawa mchambawima1 MK254 snipa Isac M Barbarosa Na wengineo
1. Kama wewe ni IT na una capital ya kutosha unaweza kufungua biashara kisha ukajiri programmer na ukawa una wa supervise.
2. Kama capital yako ni ndogo, unaweza wewe kama programmer ukaingia msituni ukafungua biashara ukajiajiri mwenyewe kama programmer.
All in all watu wengi wanaojiajiri kama programmer unakuta ndio wako kwenye start-up stage za business ila wakisha expand huwa wanaajiri programmers maana ile kazi ni mzigo kufanya mwenyewe kila kitu.