Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Vipi kuhusu anayetaka kujifunza Data analysis/Data science.Je naye atahitaji kwanza kuwa programmer au kujifunza lugha ngapi ukiitoa lugha ya PYTHON.
Data analysis/data science kwanza uwe vizuri statistics ,pia hauwezi kufanya chochote hapo bila kuwa vizuri kwenye kutumia software za data analysis.maneno hayata kusaidia.
Lugha moja tu inatosha,ila kilichopo ni kwamba kuna software zimetengenezwa na hizo lugha kwa ajiri ya kufanya analysis Kwa hiyo unaweza kuishia kwenye software zilizotengenezwa tayari au usome language kabisa iliyotengeneza hiyo software ya analysis ni machaguo yako sasa hapo automatic wewe ni programmer tu lazima uandike code kitu kitokee .
