Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,775
- 257,516
Naifahamu vizuri .Hizi data na shaka nazo hivi unaijua mbagala
Naifahamu vizuri .Hizi data na shaka nazo hivi unaijua mbagala
Kwa haraka haraka mbagala inabebwa na Watu wengi Kwa sababu sio wakazi wa mbagala ni njia wengi wanakaa mwandege, vikindu, kisemvule mpk mkuranga yenyewe wakati hizo sehemu ni wilaya ya Pwani.Yaani goms iingie kwa mbagala nusu ya wakaazi wa Dar wapo mbagala.
Mbagala watu hawana utani na kuweka mimba.
Labda uunganishe Buguruni,vingunguti na goms ndo utaifikia mbagala.
Hapa nimekuelewaKwa haraka haraka mbagala inabebwa na Watu wengi Kwa sababu sio wakazi wa mbagala ni njia wengi wanakaa mwandege, vikindu, kisemvule mpk mkuranga yenyewe wakati hizo sehemu ni wilaya ya Pwani.
Kingine wilaya ya kigamboni imepunguza Watu Kwa sababu tuangoma yote mpk kibada Ile ilikuwa ni mbagala Kwa Sasa inajitegemea .
Sijawahi panda[emoji16],wengi wanaopanda hiyo treni (ikiwemo mimi) wanakaa homboza, chanika, pugu, kisarawe,
yes na mishe anafanyia Mjini
Mkuu hebu tuweke sawa hapo, umesema Kila kitu kinauzwa Mbagara?Kweli mbagara acha kabisa. Kila kitu kinauzwa mbagara. Je nini kisababishi Cha watu wengi kukaa mbagara.
Mbezi ipi?1 MBAGALA
2GONGO LA MBOTO
3 MBEZI
Anayebisha hili huyo ni mgeni jijini Das'lama
Mbagara rangi tatu/sabasaba chumba kodi bei gani??Daaaa mbagala vitu vya bwerere tuu sijui wanapata wapi.....vyumba bei rahisiii.....menu rahisi kila kitu rahisi.....
Gomz/Mbezinikianza na route za magari tu
GOMZ-POSTA-KIGAMBONI-tata na eicher.
GOMZ-MBUSHO-tata na eicher
GOMZ-MASAKI-tata na eicher
hizo route zote rush hours magari yanajaa sana,
bado sijaweka train,pugu posta.
bado gari ndogo coaster z buguruni,segerea,kawe route ndefu nk.
gongo la mboto ina watu aisee.
Mtaji wa tajiri ni masikini🤣🤣Homboza imefunguka baada ya kupigwa lami sababu ya makamu kuamua kukaa porini imelepekea chanika inaikimbiza mbagala kwa nyomi.
Biashara ya frem zinalipa uswahilini.
MMESAHAU BOMBAMBILI [emoji95]Watu wanaichukulia poa gomsi kwa kulinganisha na mbagara ila mbagar hampati hata kidogo kwa nyomi gongo la mboto basi tu sijui mbagar kamzdi vipi umaaarifu gongo la mboto....
Au yale mambomu ya mbagara ya 2008 lakini hata gomsi yalilipuka pia 2012.
Mbagara ukiichukulia yenyewe kama yenyewe haina watu wengi ila chukulia kipande cha TANDIKA ule ukanda wote Mpaka BUZA alafu urudi sasa huko chamazi mpaka Mbande. Ndio utasema kuna watu nyomi.
Ila kwa Gomz anzia Banana , na kule Kwa WAKURYA uje Hapo mjini kati MOMBASA upandishe mpk Ulongoni B uje PUGU plus Chanika.. GOMZ ina watu.
We damka asubuhi kapandie gari gomzi utajui UjuiKwnza huko tandika na buza umewapendelea sana maana hazipo mbagara hizo....
Gomsi ina nyomi sana sema kulijua hili inabidi utulie sana na ufike maeneo yote.
We utakuwa jirani yangu weweKitunda,kivule,mombasa,kwa diwani,kwa mkolemba,moshi bar, mji mpya,rada chuo,halisi,viwege,kongozoma,bwela,jeshini na kampala+
Kutoka G,mboto nilidamka saa tisa gari zimejaa hatari kuelekea mbezi kwa magu aisee nusu gari iniache na tiket nilikata kabisa,We damka asubuhi kapandie gari gomzi utajui Ujui
NK . Kuwa makini na simu Yako gomzi wanangakua simu kama Fujo huwezi kapandia gari Mombasa Kwa watulivu
Kwakweli,We utakuwa jirani yangu wewe
Yah Hiyo ni fact Mimi gari napandia Mombasa Kwa washua gomzi maana Nina vigimbi vimekomaa sana Ile michakachaka ya gomzi ni hatariKwakweli,