Kati ya mambo haya, ni jambo gani linalokuvutia?

hapo kwenye Kaengesa Environmental (Kaeso) umepatia kabisa...Sijui huo mchezo wa kitandani unavyochezwa....

pOA kAESO MCHEZO HUO UNALALA KISHA UNAUCHEZA HORIZONTALLY KITANDANI. Kama usipoelewa utakuwa Joel au Kijana yule wa Kaengesa.....mbishi kama nini. Kamuulize Mzee Mwang'ombole pale Lichide.
 
pOA kAESO MCHEZO HUO UNALALA KISHA UNAUCHEZA HORIZONTALLY KITANDANI. Kama usipoelewa utakuwa Joel au Kijana yule wa Kaengesa.....mbishi kama nini. Kamuulize Mzee Mwang'ombole pale Lichide.

Ha ha ha haaah!! Nimekuelewa mkuu..
 
Msaidie kuongeza mkuu! Hata me sioni list yangu hapo...

Ngoja nikuongezee mkuu.
6. Siasa
7. Kufatakika
8. KuMunguka
9. Kushuzika
Nadhani mpaka hapo utakuwa umeshapata mchezo unaoupenda.
 
Ni valleyball au volleyball..?? Napenda football ( Man U, Simba, and brazil are my best teams!) Hiyo bedball mmmh! Siijui.
Samahani kutoka nje ya mada kuhusu kuvutiwa, hapo kwenye avatar ni wewe?

Please tell me no.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom