Kati ya hawa waliotajwa, Nani karusha bomu?! Mtambue

CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion

NAZANI UMEVURUGWA WEWE!!
Hiyo shibe unayopata kupitia ccm ipo siku itatoweka na ndipo utakapo jua kwamba ujinga unao utetea hauna mana!
Shame on you imbecile!!
 
Inaniuma sana Nilijivunia nchi yangu Tanzania kuwa ni ya amani, lakini leo ni nchi ya mauaji yakiongozwa na CCM kwa lengo la kulinda maslahi yao kisasa.
Bubu Msemaovyo funguka akili zaidi, haya sio maslahi ya kisiasa maana yangelikuwa hayo basi nina uhakika hata Mzee Malecela, Salim, Butiku na wapenda chama hicho wengine wangelikuwa wanafurahia pia lakini haya ni maslahi ya mafisadi wachache wenye nguvu ya pesa haramu wanaohofia ujio wa cdm madarakani kuwa kiama yao!
 
mwema anadhani yeye ndye kila kitu.amelewa na cheo chake ameligeuza jeshi la police kuwa ccm

ufafanuzi kidogo pulizzzzz....sijaelewa.hivi siku hizi kuna mashine/silaha za kurushia mabomu yanakuwa kabisa na mifuko ya nylon wakati lipo hewani?au mimi mgeni pande hizi?maana huyo wa kwanza anasema aliona bomu wakati likiwa hewani limefungwa kwenye mfuko wa nylon/plastik na anasema mtuhumiwa aliingia kwenye gari akatoka nduki while mbowe naye kaja na stori yake sasa tuamini kipi?nimepitia maelezo ya mashuhuda wengi humu jukwaani wanapishana sana kwenye maelezo hadi nachanganyikiwa.
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion

kwani chadema wamefanya lipi baya? kufanya mkutano wa siasa kunadi wagombea? au lipi we unaona baya hebu elezea usipende kutoa general statements, hata hivyo hatuhitaji huruma yako kwani hujui usemalo, tunahitaji kuungwa mkono kuikomboa nchi yetu Tanganyika
 
Kuna askali magereza mmoja ---- ivi jana alikuwa ananiambia alitamani na yeye angekuwa na mtutu ili awauwe viongozi wa chadema. Huyu mpu..zi huwa anaichukia tu chadema bila sababu yeyote.
 
wala hakuna haja ya kupeleka ushahidi huo polisi kwani hakuna jipya litakalofanyika,lejea ushahidi wa mwanahalisi-lipo wapi gazeti? lejea ushahidi wa Dr Mwakyembe-aliponea SA.Lejea ushahidi wa picha za mwangosi-kimya.
ushahidi huo uwekwe wazi kwa wananchi na wananchi ndio wafanye maamuzi.kuwe na vipindi maalum ktk TV vilipiwe na wananchi waone kilichotokea.
 
Hakuna lilo na mwanzo likakosa kuwa na mwisho,bibi yangu ana miaka 97 ila kwa hali aliyonayo kwa sasa hatuna mda mrefu tutaweka matanga japo kwa maisha haya naweza tangulia mie na yeye akabakia japo kwa mda
 
Baada ya kusoma maelezo kwa makini nahisi huu mpango utakuwa sahihi pale tutakapopata jawabu juu ya hawa wawili waliopigwa risasi jee ni majeruhi au walifariki na kama wapo hai watasaidia sana.Ushahidi wa maelezo ya majeruhi upo hapo!
Pili nahisi huyo kijana ni shujaa kweli kiasi cha kustahamili majeraha aliyopata na kuweza kufatilia hali yote ya matukio kwa uzingatilifu. Anahitaji kupongezwa.
Tatu, heko kwa intelijensia ya CHADEMA kwa kufatilia na kurikodi matokeo yote hayo. Ushauri wangu ni kuwa iwapo intelijensia ilishajuwa mpango huo na kujiandaa kwa kuurikodi, mara nyengine nahisi mpango huo bora ungezuiliwa mapema kuliko kumwaga damu za Watanzania ili tu upatikane ushahidi. Hatujui muhanga unaweza ukawa mkubwa kuliko tunavyofikiria.
 
iko wazi kabisa wala haihitaji ujuzi wa ziada , bali mwenye jina la huyo askari atuwekee humu , maana Jf ndiyo ya kwanza mara zote , hayo mengine ya picha YAKE yatafuatia , NOWHERE TO HIDE !
 
Ukweli ulipo ni kwamba polisi ndo wahusika wakuu wa jambo hili, mbaya zaidi eti wanampeleka Paul chaugonjwa kupeleza huko, another movie wapi Sule Komba?
 
Ngojeni polisi wafanye uchunguzi wao tusiwahukumu kwani hata mtu wa kawaida anaweza vaa kofia ya polisi atj ya jeshi au mmemsahau yule mjeshi wa Lema?
 
Bosi wao hao policcm Chagonja ameshakubali kuwa katika shambulio lile ni risasi ndio zilizoua watu.
 
imeshasemekana mwaka huu lazma kiongozi mmoja wa cdm afe ili kuweka mambo ya ccm vzr

Akiuwawa kiongozi wa cdm kama haitazuka vita ya wenyewe, yetu macho, hiyo ni siku ya giza lazima jeshi litagawanyika. Wasifikiri wanajeshi wote wana mawazo sawa( wakumbuke maasi ya 1964 na harakati za kina Eugine Maganga na wenzie mwanzoni mwa 1980's). Mungu aepushie mbali. Watu wameshachukizwa sana ni kama vile wamemwagiwa petrol, wanasubili chizi mmoja apige njiti kinuke. Hivi kwanini hatujifunzi. Si siri CHADEMA wanapendwa sana na hata polisi wanalijua hilo. Viongozi wetu wawe na hekima lasivyo nchi inaenda kuwapasukia. Wasome maandishi yaliyopo ukutani, wasidanganywe na 'washaurimaslahi' nchi ipo njia panda hali ni mbaya sana siku wananchi wakijibu mapigo(Naomba isitokee) watujua kwanini raia hawajawahi kushindwa vita na jeshi popote pale duniani.
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion

Do you know that, Most haters are stuck in a poisonous mental prison of jealousy and self-doubt that blinds them to their own potentiality.
 
Soma kwa makini na nanukuu (neno kwa neno) gazeti la Mwananchi toleo Na: 4741;
Jumanne, Juni 18 2013 ukurasa wa 4;

Majeruhi Mwengine Majeruhi mwingine, Abdallah Hilali (39) aliyelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Center amedai kuwa majeraha aliyopata miguuni yametokana na kupigwa risasi na Polisi na kudondekewa na vipande vya bomu.

Alisema alikuwa nyma ya jukwa kuu akimsikiliza Mbowe na alipomaliza kuhutubia alishuka jukwaani kukusanya sadaka, ndipo alipoona mfuko wa mweusi mdogo wa plasitiki ukipeperuka juu.“Nilidhani ni upepo unapeperusha kitu, lakini ghafla nilisikia kishindo na nikamsikia mama mmoja akipiga kelele kuwa aliyerusha mfuko anakimbia, nilipogeuka nikajikuta nipo chini,” alisema Hilali.

Huu ni ushahidi tosha ambao hauitaji kuufanyiwa mizengwe, imekuwa ni kawaida ya polisi kutekeleza mauaji dhidi ya raia wasio kuwa na hatia tumejionea kwa Mwangosi, Wafanyabiashara wa kule morogoro, Mara,Mwanza, Iringa na sehemu nyingine za nchi lakini hakuna hatua za msingi zinazochukuliwa dhidi ya polisi hao

Badala yake tumeshuhudia wakuu hao wa polisi wakipandishwa vyeo kitu ambacho kinaleta picha ya kama ni pongezi kwa wakuu hao kwa kusimamia vizuri mipango mkakati ya CCM mfano Kamuhanda kule Iringa
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion

kinyesi wakati wowote kikiwepo hakijifichi kitanuka tu,na harufu yake haipendezi labda kwa juha tu,au wewe ni Mwema kama siyo Mwigulu
 
Ngojeni polisi wafanye uchunguzi wao tusiwahukumu kwani hata mtu wa kawaida anaweza vaa kofia ya polisi atj ya jeshi au mmemsahau yule mjeshi wa Lema?

Katika wambugu (kabila la bibi yangu) wanao ongoza kutia aibu hapa JF wewe ni mmoja wapo. Uwe unafikiria kwa kutumia ubongo sio uti wa mgongo! We re we!
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion

kwani CHADEMA ndo wamerusha mabomu,walitaka kujiua ili iweje,huna maana wewe,ua blinded n rigid,kitu kiko clear bt u cant see!huna tija vilevile
 
Back
Top Bottom