Kati ya hawa waliotajwa, Nani karusha bomu?! Mtambue

Je ni kweli kwamba mambo yatakuwa mazuri?? Waache kujidanganya

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Je ni kwl mambo yatakuwa mazuri?? Me nadhani hapo ni kufulia kimawazo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion
lukaza ni mbinafsi na unawatia aibu wazazi na ukoo wako nonsense coments.
 
mbwa wewe na aliyekutuma
 
Katika wambugu (kabila la bibi yangu) wanao ongoza kutia aibu hapa JF wewe ni mmoja wapo. Uwe unafikiria kwa kutumia ubongo sio uti wa mgongo! We re we!

Wewe kamanda utakuwa umeathirika na moshi wa bangi kutoka kwa wanafunzi wenzako pale Msituni ndio maana husikii wala hauambiwi na chadomo yako wala sikulaumu mkuu.
Unamkumbuka yule mjinga aliyekuwa akifunga goli anavua nguo zote na kujirusha kwenye matope? Nadhani amekuambukiza wewe.
Wesia werewe hero maisha ukifiija ya ulimwengu.
 
Mimi natoa mwito,tuanze kujihami kwa kuwashughulikia makamanda wa polisi wa ngazi zote,popote itakapopatikana fursa wafanyiwe kitu mbaya,ikibidi hata wanafamilia wao ili nao wapate uchungu wa kuuliwa wapendwa wao vinginevyo watatumaliza hawa washenzi.

Nadhani Jino kwa jino itarejesha nidhamu na heshima ya kuthamini maisha ya watanzania. Watatutoa roho mpaka lini?
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion

Chagonja ndiye mchokozi kwa amri ya mwema anaebeba maelekezo ya shemeji yake Kikwete bila kufikiria madhara.

Jana amepiga mabom ovyo Arusha tishio lilikuwa nini? unaweza kueleza?
 
Ukweli ulipo ni kwamba polisi ndo wahusika wakuu wa jambo hili, mbaya zaidi eti wanampeleka Paul chaugonjwa kupeleza huko, another movie wapi Sule Komba?
Ok.
Polisi ambao "walinda usalama" wamerusha bomu kuua wananchi.
Kwa maagizo ya Nani?
Likely Mwigulu na Nape Nnauye wako involved kwa kiasi kikubwa.
Kwa maelekezo na baraka za Nani?
Nani yuko Nyuma ya pazia?
Just trying to extrapolate the pecking order.
 
mwema anadhani yeye ndye kila kitu.amelewa na cheo chake ameligeuza jeshi la police kuwa ccm

huu ni uhalifu mbaya dhidi ya raia wema kuwahi kushuhudiwa katika historia ya Tanzania. hasa uhalifu na uanaopangwa, kuratibiwa na kutekelezwa na dola..sasa inabidi raia tuamue kujilinda wenyewe..ni jambo la kusikitisha kuona mtu tunayemlipa mshahara kwa kodi zetu kuwa wa kwanza kuratibu mpango wa kufanya mauaji dhidi yetu...
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion
Kama Arusha inakushinda Njoo Moshi. Mbona Tanzania bado ni kubwa tu, au kaishi Zanzibar kule hakuna Chadema.
 
Naiomba serekali yangu tukufu ya jamhuri ya muungano wa tanzania, Muheshimiwa raisi wangu kikwete na uongozi wa CCM kwa ujumla. Tunajua mfumo wa vyama vingi uliopo nchini kwa hivi sasa si mfumo ambao nyinyi mlitaka uwepo kama ambavyo mmekuwa mkidai. Huu ni mfumo ambao ni matokeo ya shinikizo la nchi wahisani ili tuweze kupata misaada hasa baada ya kuanguka kwa URUSI kwani mataifa mengi ya afrika ambayo wakati wa vita baridi yaliegemea URUSI yalibaki yatima baada ya anguko la URUSI. na iliyalazimu kutafuta njia mpia ya kuendelea kudumu. Hakukuwa na njia peke zaidi ya kuyajeukia mataifa ya mangaribi ambayo moja ya masharti yao ilikuwa ni pamoja na kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Sasa kwa kuwa mfumo huo nyinyi hamuupendi na kwa kuwa ni mfumo ambao mkiuruhusu ukastawi yamkini siku moja hamtakuwa tena madarakani badala ya kuendelea kuona hali hii tunayoiona leo ya CCM kutumia vyombo vya dola kuangamiza upizani na yamkini ikapelekea baadae nchi kuingia kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe ni bora mkaufuta tukabaki na chama kimoja tu CCM then mkaanzisha uhusiano na china kwani china nayo ni nchi ya chama kimoja. Hili litakuwa ni jambo jema sana na litaiepusha nchi yetu na maafa ya umwagaji damu
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion

Ni aidha haujielewi au ushavurugwa inatia hasira m2 mzma unajitia hamnazo, so pols wenu cku hzi wamekuwa CDM?kuwa na m2 sampuli yako ni hasara kwa taifa na wazaz wako walokuzaa na Mungu aliyekupa pumzi ni bora angezaliwa ngo'mbe 2ngekunywa maziwa, shame on u on strongest possible words.
 
mchemba mgulu, RC wa arusha na ndo walipanga kuuwa watu wasiyo na hatia kwa kuwarushia bomu, lakini damu zilizomwagika ambazo hazzina hatia zitawahukumu. mchemba hatakiwi kuitwa mh. jina linalomfaa ni shetani mchemba mgulu. Mungu tunakuomba utulipizie kisasi.
 
Kuna askali magereza mmoja ---- ivi jana alikuwa ananiambia alitamani na yeye angekuwa na mtutu ili awauwe viongozi wa chadema. Huyu mpu..zi huwa anaichukia tu chadema bila sababu yeyote.

Nikifikiria vile vibanda ambavyo askari magereza wanaishi,halafu na upuuzi wa huyo askari,naishiwa hamu!
 
CHADEMA NI CHAMA chenye Kukubali hakina muda wa kugawa tisheti,kanga au masinia ya wali ili kupata huruma za wananchi kaa CCM,MWIGULU,NAPE NA SERIKALI YA CCM NI WAHUSIKA WAKUU WA TUKIO HILI LA MILIPUKO YA MABOMU ARUSHA. POLISI NA CCM MTAWAJIBIKA.
 
Back
Top Bottom