Kati ya hawa waliotajwa, Nani karusha bomu?! Mtambue

Watanzania tuna Matatizo haya makuu 2 na Hawa watawala wanajua hilo na watatuonea saanaaaa.

A - Kukosa mshikamano na Coordination

B- Uoga

Maelezo:

Kukosa mshikamano na Coordination.

Kuna kauli inasema hivi:- Mtanzania mmoja akionewa ni watanzania wameonewa. Waarabu wametumia hii slogan na wamefanikiwa.....

Mfano, wakati Madaktari wanagoma kwa ajili ya kutetea Hospitali zetu zipate vifaa na dawa - tupo kimya, mpaka akaja kutekwa Ulimboka.....

Mfano: Kauliwa kijana Morogoro kijana na Iringa Mwangosi ---- Mikoa mingine iliyoamka kama Mbeya, Arusha, Manyara, Moshi, Mwanza, Bukoba,,,, tupo kimyaaaa...

Ikaja kutokea Mbeyaaa --- mpaka Sugu kaenda kusuluhisha

Ikaja Iringa -- Wamachinga....

Ikaja baba lao Mtwara, ..... Wananchi walipigwa mabomu ya kutosha, risasi za kutosha ... Mikoa mingine kimyaaaa

Sasa circle imerudi Arusha... Mikoa mingine kimyaaa.

Hatujui WHo next....... Hawa watawala wataendelea kutuuwaaa. Hatuna coordinatination.

Wananchi tuamke, tusitegemee USA wala UK, ---- maana wao wanataka rasilimali zetu na wanapewa Buree na watawala..

Uoga wetuuuuuu

Uoga

Uoga

What to do....

Wakiliamsha Mtwara... inapokelewa DAr, inasambaa Handeni, Moshi mpka Manyara Kupitia Arusha

Mbeya wanapokea na Mwanza..... Hawa watawala watashika adabu.

Tuamke Watanzania.... Vinginevyo...... sasa wataanza kuuwa Viongozi wa Ukombozi....
 
Mimi natoa mwito,tuanze kujihami kwa kuwashughulikia makamanda wa polisi wa ngazi zote,popote itakapopatikana fursa wafanyiwe kitu mbaya,ikibidi hata wanafamilia wao ili nao wapate uchungu wa kuuliwa wapendwa wao vinginevyo watatumaliza hawa washenzi.

Japo hili si jambo zuri, ila naamini polisi wapo humu ndani, wayasome haya na kuyatafakari kwa makini, wajue tunaishai nao na pia ni wanandamu kama sisi na wana familia pia! Paka ni mnyama mpole lakini ukimbana sana hugeuka chui! Msitufikishe huko tafadhali
 
Watanzania tuna Matatizo haya makuu 2 na Hawa watawala wanajua hilo na watatuonea saanaaaa.

A - Kukosa mshikamano na Coordination

B- Uoga

Maelezo:

Kukosa mshikamano na Coordination.

Kuna kauli inasema hivi:- Mtanzania mmoja akionewa ni watanzania wameonewa. Waarabu wametumia hii slogan na wamefanikiwa.....

Mfano, wakati Madaktari wanagoma kwa ajili ya kutetea Hospitali zetu zipate vifaa na dawa - tupo kimya, mpaka akaja kutekwa Ulimboka.....

Mfano: Kauliwa kijana Morogoro kijana na Iringa Mwangosi ---- Mikoa mingine iliyoamka kama Mbeya, Arusha, Manyara, Moshi, Mwanza, Bukoba,,,, tupo kimyaaaa...

Ikaja kutokea Mbeyaaa --- mpaka Sugu kaenda kusuluhisha

Ikaja Iringa -- Wamachinga....

Ikaja baba lao Mtwara, ..... Wananchi walipigwa mabomu ya kutosha, risasi za kutosha ... Mikoa mingine kimyaaaa

Sasa circle imerudi Arusha... Mikoa mingine kimyaaa.

Hatujui WHo next....... Hawa watawala wataendelea kutuuwaaa. Hatuna coordinatination.

Wananchi tuamke, tusitegemee USA wala UK, ---- maana wao wanataka rasilimali zetu na wanapewa Buree na watawala..

Uoga wetuuuuuu

Uoga

Uoga

What to do....

Wakiliamsha Mtwara... inapokelewa DAr, inasambaa Handeni, Moshi mpka Manyara Kupitia Arusha

Mbeya wanapokea na Mwanza..... Hawa watawala watashika adabu.

Tuamke Watanzania.... Vinginevyo...... sasa wataanza kuuwa Viongozi wa Ukombozi....

yametokea pemba 26-27.january.2001.mikoa mengine kimya.waliopigwa ni wapinzani wa ccm.wapemba walijua zamani kwamba ccm haifai ndo maana hakuna hata jimbo moja liloshikiliwa na ccm.wanajf tujua kuwa wapemba walipigwa hadi wengne wakawa wakimbizi to kenya.ccm haifai subiria siku chache utasikia mikoa ya shinyanga ,dodoma,etc polisi wanapiga mabomu.say no ccm
 
imeshasemekana mwaka huu lazma kiongozi mmoja wa cdm afe ili kuweka mambo ya ccm vzr

Aliondoka Dr Omar Al - Juma, nadhani hii imekuwa ndio tunu yao. Waendelee ila mungu yu pamoja na wanyonge waangamizwaye bila hatia.
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion
chadema ndio waliomuua Mwangosi?
 
Umemaliza? kachukue posho lumumba kabla ya weekend kuanza, maana umeshaingiza cku tayari kwa maneno yako ya kichefuchefu,kinyaa.
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion

Nakumbuka ndugu zako akina LUKAZA walishitakiwa kwa kesi ya EPA,isije ikawa wewe ni mmoja wa watuhumiwa,unajua CHADEMA wakiingia madarakani 2015 watawaadhibu mafisadi wote bila huruma.Wakati wenu mafisadi unahesabika,2015 hakika mtakiona cha mtema kuni.

Inaonekana kama vile JK ameunda kikosi maalum cha mauaji ndani ya polisi,lakini niwaonye hao polisi siku zao zinahesabika,ngoja iondoke CCM au ibaki CCM lakini kundi lililoathiriwa vibaya na TISS la akina Mwakyembe lichukue nchi 2015,ndipo kutakapokuwepo na kilio cha kusaga meno,mwenye macho haambiwi ona.
 
Bahati mabaya yao ni kuwa hadi watoto wadogo wanasema walipigwa risasi na polisi. kama jamaa wa Iringa alipandishwa cheo baada ya kuua mwandishi mmoja huyu wa Arusha atapanda vyeo kwa ngazi mbili maana yeye kafanikisha vitatu na pia kafanikisha kusimamisha ushindi wa jumla wa viti 10 vya udiwani maana ingekuwa 6+4.
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion
Dah mama hapo sijakuelewa, kwani unamaanisha nani anayerusha mabom Arusha? hebu niambie mama angu asee. Samahani kama si mwanamke lakini nahisi sijakosea hiyo post lazima kaandika mwanamke.
 
wewe unaishi wapi?

Picha inaongea zaidi kuliko maneno,hata hili unasubiri mzungu aje akwambie........"the rulling party is behind the killings" ndo uamini pale utakaposikia viongozi wa sisiemu wanapelekwa the Hague.
 
Bado haijaniingia hata mhuni anaweza kuvaa gwanda la polisi.
 
CHADEMA Mbona mnazidi kutuweka katika njia panda sisi Watanzania tuliozowea Amani. Sifikirii kama Chadema Mnaonewa katika nchi hii inachokiona kuwa Chadema mnachokifanya ni kututaka sisi wananchi tukuoneeni huruma hali ya kuwa nyinyi ndio wachokozi wa fujo na kuleta vurugu hapa nchini. Ukweli nafikiria Mutafute Staili nyingine ya Kupata Umaarufu wa Kisiasa otherwise Mnatukosti sisi wananchi tusio na hatia hali ya kuwa nyinyi mnamaisha mazuri pamoja na familia zenu sisi wanyonge mnatupa tabu ona sasa Arusha tunashindwa hata kutoka kutafuta msosi kama tulivozowea. kwa ufupi niwaombe chadema kuwa YATOSHA.....Amani ndio tuliyoizowea vurugu hizo za nini? Kama kweli wanasiasa shindaneni kwa hoja sasa watanzania tumeshaelimu na ukitaka kujuwa sasa tumefika katika hali ya kuwa Katika Ukoo haautakosa Dedgree na Master holder kwa sababu sasa tumeeelimika siasa mnayo leta haina tija ya ushindi kwenu that my opinion

Sorry for you...try again!
 
Huyu anaejiita Lukaza mbona simuelewi, mawazo yake mgando halaf cjui ana maslahi gani na hiyo ccm, watu wanazungumzia uhalisia wa mambo yeye anachanganya habari malitu km haya ni mavibaraka na ya namna hii ndo yanayoangamiza waTz wenzao kwa njaa na ufukara wa akili......! Full of Shit!
 
bubu msema ovyo; inaniuma sana nilijivunia nchi yangu tanzania kuwa ni ya amani, lakini leo ni nchi ya mauaji yakiongozwa na ccm kwa lengo la kulinda maslahi yao kisasa

chadema chama nilichokiona kama mkombozi kimeigeza arusha kuwa darfur sehemu ya vurugu plz mbowe,lema na kna ndesamburo peleken hizi vurugu moshi tumechoka aman ya tanzania mnaivuruga kwa maandamano na vurugu mnasababisha arusha na taz kuwa kama jran zetu somalia tumewachoka sasa bas
 
Back
Top Bottom