waser tron
New Member
- Sep 2, 2026
- 1
- 1
Hivi Data Science ni elimu gani na inahusu nini?
Naomba maelezo kidogo kuhusu kozi hii.
Je, kuna uwezekano wa kupata ajira baada ya kusoma Data Science? Pia, mwanafunzi aliyesoma PCB anaweza kusoma kozi hii?
Naomba maelezo kidogo kuhusu kozi hii.
Je, kuna uwezekano wa kupata ajira baada ya kusoma Data Science? Pia, mwanafunzi aliyesoma PCB anaweza kusoma kozi hii?