Kate, mke wa Ferdinand aonja Kaa la moto huko Instagram

Kate, mke wa Ferdinand aonja Kaa la moto huko Instagram

Huwezi kuficha ugonjwa halafu ukasalimika.

Hii ndiyo njia sahihi kabisa ya kuueleza ukweli kwa ulimwengu nao wajue kilichotokea hapa.

Unataka kufunika uchafu na uvundo kwa kupulizia manukato?

Unamfichia nani hiyo siri; huyo anayeendelea kufanya uhalifu kwa waTanzania?

Ni muhimu kila kitu kiwekwe wazi, hiyo ndiyo dawa pekee itakayoliponyesha taifa hili.

"Kazi ya kujitakia" ni hiyo aliyofanya Samia. hakuna mTanzania aliyemtuma aliletee taifa hili aibu kubwa ya aina hiyo.
Sasa wewe pia sijui hii dhana potofu umeiokota wapi; unayo maslahi na huyo Samia?
Kalamu naomba sana tumpongeze Bashite kwa kusaidia kutangaza kilichotokea 29/10. Yaani kwa kumleta huyu jamaa amezidisha hasara kwa hili li-shangingi la Kisimkazi. Wao kwa akili zao ndogo wanadhani wanajenga!
 
CCM ina akili ndogo sana. Safi sana Makonda umetusaidia sana kutangaza uovu wa serikali haramu
 
Naamini hata hivi vikundi vya utekaji vinamadhaifu makubwa sana....! Operation za ndani tu zinawashinda za nje wataweza kweli?? Hivi kwa mfano wanaweza kwenda hata hapo Kenya wakamchomoa mtu wakaondoka nae bila kuacha alama kweli?? Wameiva kimafunzo kweli? Maswali ni mengi sana juu ya watu hao.

Ama ni mungu tu ameamua kuingilia kati maana hapendezwi na matendo hayo?? Wao wanaona wamefanya ki-professional lkn anawaweka hadharani??
Hayo mambo anayeweza Kagame peke yake, Samia zezeta hawezi kupanga lolote la maana.
 
Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda.

Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment kwenye page yake Kwa kimlaumu mumewe Kwa kutumika kusafisha watawala. Kwenye post za huyu bi dada comments zinasoma maelfu uku picha na video za kutisha za mauaji ya MO29 zikiwekwa kwenye comment section.

Ziara ya Ferdinand imegeuka kilio Cha kusaga meno kwake na Kwa familia, media za UK zimemngoja Kwa hamu.

Ziara ya Ferdinand Tanzania ni carrier Suicide Kwa mchezaji huyo.
Akome kugeuzwa chawa wa wauaji
 
Binafsi naamini utawala wa ccm hauna muda mrefu tena kwenye hii nchi.
Concern yangu, ni namna gani tunaweza irudisha image ya nchi kwa watu wenye potential kama tukiwapoteza saivi. (Ukiachana na Rio ambae sioni kama ana effects sana)
Ila kwa trend hii tunaweza haribu kwa watu wenye manufaa zaidi, haina tofauti sana na kuchoma infrustructures
Hii ndiyo itaifanya Tanzania ijulikane Sana.
Itatetewa na wengi nje ya Tanzania.
Baada ya kuwaondoa CCM na watuhumiwa wa mauaji nchi itatembelewa na wageni wengi Sana wakitaka kuja kujifunza na kuandika vitabu vya historia, kutengeneza filamu n.k.
Mfano halisi jinsi Rwanda inavyo tembelewa sasa. Kutengenezwa fiilamu maarufu kibao za genocide mfano Ile ya HOTEL RWANDA ya Don Chidle.
 
Kalamu naomba sana tumpongeze Bashite kwa kusaidia kutangaza kilichotokea 29/10. Yaani kwa kumleta huyu jamaa amezidisha hasara kwa hili li-shangingi la Kisimkazi. Wao kwa akili zao ndogo wanadhani wanajenga!
Hili liliniijia akilini; lakini siwezi hata siku moja kumpongeza mtu kama Makonda kwa jambo lolote.
Hizo 'misstep' zao acha ziwasute wenyewe.
Wanafanya kila jitihada kuonyesha kuwa hali iliyopo Tanzania ni ya kawaida, wakati hali ni tofauti kabisa.
 
Concern yangu, ni namna gani tunaweza irudisha image ya nchi kwa watu wenye potential kama tukiwapoteza saivi. (Ukiachana na Rio ambae sioni kama ana effects sana)
Mkuu, 'GMan', sijui kama nimekuelewa vizuri kuhusu hofu yako juu ya "watu wenye potential..."

Mtu mwenye potential hawezi kukubali kutumika kwenye hali ya uovu. hawa wanaokuja hapa wakati hali ikiwa tete namna hii sioni upotential wowote kwa watu wa namna hiyo.
Wanajiweka kwenye hali ya kutumiwa kusafisha uovu.
Kama hawalijui hilo; hiyo ni moja ya sababu upotential wao hauna maana yoyote.
 
Daa hii nchi Toka MO29, sidhani kama itakuwa sawa. Kate Ferdnand ni mke wa mchezaji Ferdinand ambae Yuko Tanzania Kwa mwaliko wa Makonda.

Mwanadada huyo kwenye post zake za Instagram uwa anapata comments kama 20-50, Cha kushangaza ndani ya siku mbili amekutana na moto wa Gen Z, walio comment kwenye page yake Kwa kimlaumu mumewe Kwa kutumika kusafisha watawala. Kwenye post za huyu bi dada comments zinasoma maelfu uku picha na video za kutisha za mauaji ya MO29 zikiwekwa kwenye comment section.

Ziara ya Ferdinand imegeuka kilio Cha kusaga meno kwake na Kwa familia, media za UK zimemngoja Kwa hamu.

Ziara ya Ferdinand Tanzania ni carrier Suicide Kwa mchezaji huyo.
Liwe onyo kwa wengine
 
Hii Si sawa! ingawa kweli inaweza saidia kupeleka ujumbe lakini kuja kujitibu baadae hata kama ccm imeondoka madarakani itakuwa kazi kubwa sana ya kujitakia.

hao jamaa ni wajiinga sana
 
Back
Top Bottom