Bauntu asukile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2020
- 324
- 444
Kiukweli kuna baadhi ya mambo wanakosea,, ila binafsi nazipenda sana sheria za Talban huwezi kuona mambo yakijinga kama Nchi nyingine...Taliban watoa uamuzi mpya katika jimbo la Balkh, Afghanistan, wakisema kuwa wanawake hawaruhusiwi kuwatembelea madaktari wa kiume !!
Kumbuka kwamba hakuna elimu kwa wanawake pia kutokana na Taliban kukataa wanawake wasisome, kwa hivyo hakuna madaktari wa kike pia !!View attachment 2475211