Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,807
- 11,492
Kwa kweli. Sisisemu ituletee hawa viumbe. Huko Taleban wabaki wanaume watupu sasa wafanyane wenyewe kwa wenyeweWaje Tizedi
Kwa kweli. Sisisemu ituletee hawa viumbe. Huko Taleban wabaki wanaume watupu sasa wafanyane wenyewe kwa wenyeweWaje Tizedi
Wanzetu hawatumiagi akili na makatazo yaoTaliban watoa uamuzi mpya katika jimbo la Balkh, Afghanistan, wakisema kuwa wanawake hawaruhusiwi kuwatembelea madaktari wa kiume !!
Kumbuka kwamba hakuna elimu kwa wanawake pia kutokana na Taliban kukataa wanawake wasisome, kwa hivyo hakuna madaktari wa kike pia !!View attachment 2475211
Hii dunia mwarabu ndio angekuwa na nguvu, Vita ingekuwepo kila kona hapakalikiiiiTaliban watoa uamuzi mpya katika jimbo la Balkh, Afghanistan, wakisema kuwa wanawake hawaruhusiwi kuwatembelea madaktari wa kiume !!
Kumbuka kwamba hakuna elimu kwa wanawake pia kutokana na Taliban kukataa wanawake wasisome, kwa hivyo hakuna madaktari wa kike pia !!View attachment 2475211
Acha mzungu aendeleeee kutawala.Maduka ya nguo za wanawake huko Kabul, Afghanistan yanafunika nyuso za nguo za kike. Maduka yanafunika vichwa vya mannequin na mifuko ya plastiki, magunia ya nguo na vifaa vingineView attachment 2489205View attachment 2489206