Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 365,172
- 843,304
- Thread starter
- #21
Aah bongo mfumo kafir umetamalaki haiwekani labda kuvuka maji chumviHao watu walivyovaa aisee,hayo si ni mateso.
Ila safi waache wafuate miongozo yao,vitabu vyao vinasema hivyo,acha iwe hivyo hivyo tu,na waislamu wa bongo nao waige hivyo

