Katazo la kulala wanaume wawili Lodge

Mnaweza kulala chumba kimoja lakini vitanda tofauti.

Hizi room ndio zinaitwa double na mnaokowa gharama, kuchukuwa double si sawa na gharama ya vyumba viwili.

Kulala kitsnda kimoja wanaume ni umadkini tu lakini siyo powa kabisa.

Jitu lingine limezoea kulala na mwanamke usishangae usiku bila yeye kukusudia likakukumbati likadhani yupo na demu.

Na kwa watoto ni hatari ukipata mgeni nyumbani usimlaze na mtoto wako wa kiume ni bora umchukulie chumba gesti ya jirani maana kuna watoto wameanzishwa ushoga kwa style hii ya kulazwa kitanda kimoja na dume lililobarehe.
duh!! na nyege zikishalipanda dume lolote iwe la binadam au mnyama, timbwili lake ni la hataree!! mfano; dume la ng'ombe lazma zizi livunjwe na mnalikuta mtaa wa nne kwenye zizi la majike, ndo utashangaa limejuaje njia na limefikaje huko?
 
Hivi hizi theory mnatoa wapi? Mbona kuna soccer players, musicians, au wanafunzi wa madrasa/seminary za waroma, walikua abused wakiwa vijana wadogo ila bado ni straight? Same to wanawake walibakwa/kulawitiwa wakiwa wadogo ila sio malaya?

Being straight or gay ni mentality sio penetration tu. Otherwise kila aliyewahi ingiliwa jela au boarding schools angekua shoga hii leo.
Pole kwa yaliokutokea asee, dah!! Binadam wakatiri sana
 
Kunaweza kuwa na ukweli ila ambacho sikubali ni eti mara moja tu ndio mtu hawezi kuwa straight tena. Coz yupo mdada namfahamu kuna siku aliingiliwa na mme wake huko, alinipigia simu analia sana na alichukia mnoo hiko kitendo. Sasa how do u say mdada kma huyo awe addicted na backdoor sex kisa cku hyo moja tu?
kuna mmoja aliliwa nyuma na mmewe, anajikuta kamaindi, kapaki virago vyake kasepa kwao. Kufika kwao baba na mamaye wanamuuliza shida nini? mwanadada kafunguka a to z.

Wakamwambia aache masighara, saileile wakampakia na mizigo yake wakamrudisha kwa mumewe.
 
Mkuu mwanamke au mwanaume akifanyiwa usodoma na kumwagiwa Shahawa huwa hazitoki zote badala yake hutengeneza bacteria f''lan wanaokula shahawa zilizobaki m-kunduni so hizo shahawa zikiisha humnyevua nyevua mpaka amwagiwe tena ndio vijamaa hutulia maana wanapata chakula chao mwendo huwa ni huohuo.
Labda wapigwe bomba kabla mambo hayajawa mabaya zaidi ila kusema zinatoka zenyewe hapo umefeli
Na siku izi wadada wengi wa mjini wana toa huduma ya 0713
 
Sioni mantiki ya kuweka katazo kwa kweli. Ni swala la kutaka fedha zaidi.
Ndio maana kuna hoteli room 1 ina vitanda 2 na kama kuna hisia hizo hata wakichukua vyumba tofauti na wana nia zaoje kuna wa kuwazuia si wanatembeleana tu nini shida.

Huu ukiritimba unatakiwa kuachwa watu wana safari zao ndio maana ya kuandika utokako na uendako.
Aisee umesema ukweiii,
 
Kunaweza kuwa na ukweli ila ambacho sikubali ni eti mara moja tu ndio mtu hawezi kuwa straight tena. Coz yupo mdada namfahamu kuna siku aliingiliwa na mme wake huko, alinipigia simu analia sana na alichukia mnoo hiko kitendo. Sasa how do u say mdada kma huyo awe addicted na backdoor sex kisa cku hyo moja tu?

719f0fe4-26ce-4ce5-87ba-9bd64c7b38db.jpg

mhhh

kwanini alikueleza wewe!!na umejuaje kama kaacha maana kama kanogewa anaweza kausha tu,ukadhani kaacha.
 
kuna mmoja aliliwa nyuma na mmewe, anajikuta kamaindi, kapaki virago vyake kasepa kwao. Kufika kwao baba na mamaye wanamuuliza shida nini? mwanadada kafunguka a to z.

Wakamwambia aache masighara, saileile wakampakia na mizigo yake wakamrudisha kwa mumewe.

sasa atakaa hapo nyumbani anaangaliana na baba yake kwamba aliishafirrwa.

unajua mambo mengine ya ajabu sana.
ndio maana huko unyagoni wanapigwa mpaka fimbo kisa kuuliza swali la kiwaki tu,kwamba wazo fulani toa kabisa kichwani.

eti baba na mama ninerudi kisa mme wangu kanikata nyuma,umerudi tukutibu au!!
 
Ni Jumatatu tulivu tenaaa

Hivi hili katazo ambalo tunakutana nalo kwenye nyumba za kulala wageni iwe lodge, guest au hotel ya kuwa hawaruhusiwi kulala wanaume wawili limekaaje wandugu? Au limezingatia nini hasa hadi kuwekwa maana ka wengine naona sio sawa kabisa wengine tuna safari tunafikia sehemu na bajeti inabana kweli tuchukue room 2 kulala masaa kadhaa tu tuendelee na safari zetu.

Sijajua ni katazo la kiserikali yani kuna hiyo sheria au ni maamuzi tu ya wenye hizo biashara hebu wanaojua watujuze, na kama ishu ni ushoga hahah mbona wanawake wanalala au wao hawahofiwi kuwa wasagaji?
Wanawake awachafui shuka
 
Ni katazo linahusisha hata wanawake. Yaani hairuhusiwi kulala chumba kimoja watu wa jinsi moja. Ila cha ajabu kuna guest, lodge au hotel zingine zina vyumba vyenye vitanda viwili. Hapo kulala watu watu wa jinsia moja ni ruksa. Sasa sijui akili zao zinawazaga nini
Kama mmepanga kufanya hayo machafu hapo hawajazuia kitu....ni rahisi kuhama kitanda ukahamia kwa mwenzio.
 
kuna mmoja aliliwa nyuma na mmewe, anajikuta kamaindi, kapaki virago vyake kasepa kwao. Kufika kwao baba na mamaye wanamuuliza shida nini? mwanadada kafunguka a to z.

Wakamwambia aache masighara, saileile wakampakia na mizigo yake wakamrudisha kwa mumewe.
Kwa waislamu mume akiomba kufanya kinyume cha maumbile ni sababu tosha ya mke kudai talaka au kuondoka bila ya taraka
 
Mkuu mwanamke au mwanaume akifanyiwa usodoma na kumwagiwa Shahawa huwa hazitoki zote badala yake hutengeneza bacteria f''lan wanaokula shahawa zilizobaki m-kunduni so hizo shahawa zikiisha humnyevua nyevua mpaka amwagiwe tena ndio vijamaa hutulia maana wanapata chakula chao mwendo huwa ni huohuo.
Labda wapigwe bomba kabla mambo hayajawa mabaya zaidi ila kusema zinatoka zenyewe hapo umefeli
Mkuu Kuna ushahidi wa kisayansi katika hili?
 
Back
Top Bottom