Sitosahau penzi la binti wa kizungu toka NYC

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,193
Habari ya leo wana jf. Leo nimependa kuwashirikisha kisa hiki kilichotokea mwez wa 10 mwaka huu. Nilikuwa na rafiki wa kuzungu jinsia ya kike, jina lake anaitwa Emine. Anaishi NYC japo asili yake ni kutokea Uturuki.

Alikuwa amenizidi umri kidogo sana. Mtoto mzuri toka. Tulijuana mwezi wa 2 mtandaoni akiwa na lengo la kujifunza lugha ya Kiswahili sababu miezi michache mbele alipanga kuja Tanzania.

Akiwa amekaribia kuja Tz alinipa ratiba za safari yake kwamza atashukia Dar, atakaa siku 2 na kisha mikumi then Kilombero Udizungwa. Akapanga pia kuja Iringa sababu nilimweleza kuhusu vivutio vilivyopo Iringa na Mbeya sababu mimi nipo Iringa. Akaomba kutoka Iringa mpaka Mbeya nimuongoze.

Basi bhana siku hiyo kafika Iringa akitokea Morogoro Mikumi na Udizungwa. Nikampokea na kufurah sana kuonana naye. Mtoto alikuwa mzuri.

Nadhani mnajua vile wanaume wa kibongo tunafeel tukionana na na rangi nyeupe. Tukapeana mipango na kupiga misele iringa mjini kisha jioni akanilipia lodge yeye akalala hotelini. Asubuh tukaenda gangilonga na makumbusho ya mkwawa kisha tukaenda Ruaha national park. Tukarud na kupumzika. Mpaka hapo tukawa tumeshazoeana sana. Tukapanga safari ya mbeya na nini anapenda kutazama. Nikapendekeza twende tukuyu. Kule kuna vivutio vingi. Basi tukaagana na kwenda kulala. Kesho yake asubuhi na mapema tukapanda basi kwenda mbeya. Tukaingia mbeya saa saba mchana.

Tukatafuta lodge nzuri akalipia vyumba viwili. Tukatafuta sehemu nzuri tukala chakula. Sasa hapo tukapanga tutembee kwenda mjini ayaone mazingira. Basi tukatembea sana na kurudi lodge saa 12 jioni. Tulipofika kila mmoja akaenda room kwake.

Nikajituliza nikaoga na kujilaza nikimfikiria mtoto wa kizungu. Baadae kidogo akanitext tukaenda kula then tukarudi akanambia amechoka sana anataka alale mapema. Tukaagana na kwenda kulala. Sasa muda wa saa 3 usiku nikaona kuna mtu anagonga mlango nikainuka nikavaa nikafungua mlango nikakutana na wanaume 5. Wakajitambulisha pale. Wawili walikuwa ni maafisa uhamiaji na watatu ni polisi. Wakaniambia "tumekuja hapa sababu mchana tumeona upo na binti wa kizungu, je ni nani na ametoka nchi ganu na amekuja kufanya nini?"

Nikawaeleza kila kitu wakaomba waonane nae. Nikagonga mlango sana kwenye chumba chake akawa hafungui nikachukua simu nikampigia akapokea akanambia alikuwa amelala usingizi mzito. Akatoka. Wale jamaa wakanambia mimi nikalale tu then wao waendelee kuongea nae. Nilienda room lakini nikawa na hofu sana nikasimama mlangoni nikisikiliza wanasema nini. Jamaa hawakuwa na mambo mengi wakaomba passport akawapatia wakamwambia walitaka kujua kama ana vielelezo na asante kwa ushirikiano.

Wakaja mlango kwangu wakanishukuru wakasepa. Sasa binti akaingia kulala akawa kapatwa na hofu sana haswa pale waliponambia mimi niondoke wao wabaki na binti. Nikamtia moyo na kumuambia ni vitu vya kawaida. Tanzania ni safe. Baada ya hapo akaanza kunambia moyo wake hauna amani anatamani ingekuwa mchana tutoke tukae nje au tupige misele. Nikamwambia usipoteze amani just relax. Akaomba niende kupiga story room kwake.

Nikainuka nikafunga mlango nikaenda kwake. Nikamkuta yupo kwenye night dress ya pink afu chuchu saa sita. Jamaa Nikadata but nikahofia kupoteza heshima nikawa normal nikavunga kama vile sina mawazo yoyote. Baadae saa nne ananiambia tulale tu pamoja au ni vibaya kutokana na tamaduni zenu?

Jamaa sikusita nikakubali na kumuambia sio vibaya tukalala. Jamaa nikataguta angle ya story inayohusu mahusiano. Lengo nikitaka kujua desturi ya kwao kuhusu mahusiano. Mtoto akawa muwazi sana na yupo happy. Sasa wakati huo mimi tayari mtandao unasoma 4G.

Emine naye akaniuliza kuhusu desturi ya watanzania katika mahusiano , nikamueleza na akawa anaonesha kufurahi sana. Kama unavojua wenzetu wapo open sana, akanambia "I'm feeling horny, please fu.. me". Sikusita sababu mimi mwenyewe nilikuwa horny,

Tukapiga foreplay nikazamisha mhogo huku siamini kama nipo na white woman, mtoto ni mtundu hatari. Nikamfaidi sana. Asubuh tukaamka saa tatu. Tukajiandaa kwenda tukuyu kwenye daraja mungu, lake ngosi, na kujinza maisha ya wenyeji. Mchana tuliporud mbeya mjini tukachukua room moja hotelini. Mapema sana saa mbili tupo kwa room tushajilaza na show ikaendelea. Kesho yake saa tano nikampeleka airport ya songwe ili arud Dar kujiandaa na safari. Akanilipa changu then tukaagana kwa majonzi. Now kanipromise atakuja mwez wa 3 na kukaa Zanzibar for 2 weeks na mie.

Ninatamani sana ningeweka picha yake lakini sio jambo jema kuweka picha ya mtu mtandaoni bila idhini yake.

Nawasilisha
 
Habari ya leo wana jf. Leo nimependa kuwashirikisha kisa hiki kilichotokea mwez wa 10 mwaka huu. Nilikuwa na rafiki wa kuzungu jinsia ya kike, jina lake anaitwa Emine. Anaishi NYC japo asili yake ni kutokea uturuki. Alikuwa amenizidi umri kidogo sana. Mtoto mzuri toka . Tulijuana mwezi wa 2 mtandaoni akiwa na lengo la kujifunza lugha ya kiswahili sababu miez michache mbele alipanga kuja Tanzania. Akiwa amekaribia kuja Tz alinipa ratiba za safari yake kwamva atashukia Dar, atakaa siku 2 na kisha mikumi then kilombero udizungwa. Akapanga pia kuja iringa sababu nilimweleza kuhusu vivutio vilivyopo iringa na mbeya sababu mimi nipo iringa. akaomba kutoka iringa mpaka mbeya nimuongoze. Basi bhana siku hiyo kafika iringa akitokea morogoro mikumi na udizungwa. Nikampokea na kufurah sana kuonana naye. Mtoto alikuwa mzuri. Nadhani mnajua vile wanaume wa kibongo tunafeel tukionana na na rangi nyeupe. Tukapeana mipango na kupiga misele iringa mjini kisha jioni akanilipia lodge yeye akalala hotelini. Asubuh tukaenda gangilonga na makumbusho ya mkwawa kisha tukaenda Ruaha national park. Tukarud na kupumzika. Mpaka hapo tukawa tumeshazoeana sana. Tukapanga safari ya mbeya na nini anapenda kutazama. Nikapendekeza twende tukuyu. Kule kuna vivutio vingi. Basi tukaagana na kwenda kulala. Kesho yake asubuhi na mapema tukapanda basi kwenda mbeya. Tukaingia mbeya saa saba mchana. Tukatafuta lodge nzuri akalipia vyumba viwili. Tukatafuta sehemu nzuri tukala chakula. Sasa hapo tukapanga tutembee kwenda mjini ayaone mazingira. Basi tukatembea sana na kurudi lodge saa 12 jioni. Tulipofika kila mmoja akaenda room kwake. Nikajituliza nikaoga na kujilaza nikimfikilia mtoto wa kizungu. Baadae kidogo akanitext tukaenda kula then tukarud akanambia amechoka sana anataka alale mapema. Tukaagana na kwenda kulala. Sasa muda wa saa 3 usiku nikaona kuna mtu anagonga mlango nikainuka nikavaa nikafungua mlango nikakutana na wanaume 5. Wakajitambulisha pale. Wawili walikuwa ni maafisa uhamiaji na watatu ni polisi. Wakaniambia "tumekuja hapa sababu mchana tumeona upo na binti wa kizungu, je ni nani na ametoka nchi gan na amekuja kufanya nini?" Nikawaeleza kila kitu wakaomba waonane nae. Nikagonga mlango sana kwenye chumba chake akawa hafungui nikachukua cm nikampigia akapokea akanambia alikuwa amelala usingizi mzito. Akatoka. Wale jamaa wakanambia mimi nikalale tu then wao waendelee kuongea nae. Nilienda room lakini nikawa na hofu sana nikasimama mlangoni nikisikiliza wanasema nini. Jamaa hawakuwa na mambo mengi wakaomba passport akawapatia wakamwambia walitaka kujua kama anavielelezo na asante kwa ushirikiano. wakaja mlango kwangu wakanishukuru wakasepa. Sasa binti akaingia kulala akawa kapatwa na hofu sana haswa pale waliponambia mimi niondoke wao wabaki na binti. Nikamtia moyo na kumuambia ni vitu vya kawaida. Tanzania ni safe. Baada ya hapo akaanza kunambia moyo wake hauna amani anatamani ingekuwa mchana tutoke tukae nje au tupige misele. Nikamwambia usipoteze amani just relax. Akaomba niende kupiga story room kwake. Nikainuka nikafunga mlango nikaenda kwake. Nikamkuta yupo kwenye night dress ya pink afu chuchu saa sita. Jamaa Nikadata but nikahofia kupoteza heshima nikawa normal nikavunga kama vile sina mawazo yoyote. Baadae saa nne ananiambia tulale tu pamoja au ni vibaya kutokana na tamaduni zenu? Jamaa sikusita nikakubari na kumuambia sio vibaya tukalala. Jamaa nikataguta angle ya story inayohusu mahusiano. Lengo nikitaka kujua desturi ya kwao kuhusu mahusiano. Mtoto akawa muwazi sana na yupo happy. Sasa wakati huo mimi tayari mtandao unasoma 4G. Emine naye akaniuliza kuhusu desturi ya watanzania katika mahusiano , nikamueleza na akawa anaonesha kufurahi sana. Kama unavojua wenzetu wapo open sana, akanambia "I'm feeling horny, please fu.. me". Sikusita sababu mimi mwenyewe nilikuwa horny,
Tukapiga foreplay nikazamisha mhogo huku siamini kama nipo na white woman, mtoto ni mtundu hatari. Nikamfaidi sana. Asubuh tukaamka saa tatu. Tukajiandaa kwenda tukuyu kwenye daraja mungu, lake ngosi, na kujinza maisha ya wenyeji. Mchana tuliporud mbeya mjini tukachukua room moja hotelini. Mapema sana saa mbili tupo kwa room tushajilaza na show ikaendelea. Kesho yake saa tano nikampeleka airport ya songwe ili arud Dar kujiandaa na safari. Akanilipa changu then tukaagana kwa majonzi. Now kanipromise atakuja mwez wa 3 na kukaa Zanzibar for 2 weeks na mie.
Ila mikoa ya kusini Kuna ushamba sana, mikoa ya kaskazin polisi hawawez kuja kukugongea mlango usiku kisa wamekuona na mzungu
 
Picha haina uhusiano na stori
images (4).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom