salamu zao, usijewekewa limbwata na mabinti wa huko ukashindwa kurudi!
karibu sana,hii ndio mtwara! ntakutafuta jioni nikuoneshe mji.
Kuna MACHINGA, BUTI, ROYAL, SETH pia, ila nilikuja na ungo wa wazungu..... Ntwara raha asikwambie ntu.Napita nkijoki naelekea Nsasani,bhaaa bwana wewe nke wa ntu sumu. Sijui umepanda HAMANJU,CENTRAL LINE,MANING NICE hiyo inakwenda hadi MSUMBIJI.
Mmepiga shule gani hapa Mtwara.
Shost za siku?
Nimemuona Mrs. Komba aliekuwa kule Cookery room kule Sekondari,
Nimekutana nae hapa Chuo OUT,Biafra.
Asante sana mkuu, ila dada zako nasikia ni wataalamu kunako nanihii.....
naogopa nisije nikabaki huku maana mmmh...!!!
Safari nitakayokuja tena nitakuomba unitafutie mmoja ili ni-prove.
poa shost! nilizan miss komba aka madovena! anasoma au? vile vigimbi vyake mmh!
Tatizo naondoka kesho ningeendelea kuwepo kwa siku ya kesho ningeitafuta nijue ilipo........