usije vamia nyumba za watu yakakukuta yaliyomkuta Mtambuzi.
Sizinga na wanaJF wengine mliopo Mtwara mgeni nimeingia ndani ya mji wenu kimyakimya jana asubuhi. Nyakati za jioni jana nilipata wasaa wa kujichanganya na wenyeji lakini nilichoshuhudia ni kuwa Mtwara ya sasa si ile niliyoiacha mara ya mwisho nilipokuja kutembea huku miaka miwili iliyopita.
Wenyeji nielekezeni maeneo ya kujirusha ili leo jioni nikatembelee huko hata nitakaporudi kwetu Kawajense Mpanda nipate cha kusimulia, jana nilikuwa maeneo ya Mangowela Inn.
Kweli Mtwara Raha....
Ile keep-left inaitwa Mnarani na kuna bar inaitwa Blantyre nadhani ndio unayoiongelea.
Tena namwomba mtaa wa Sinani asikanyage kabisa....nimeweka kambi pale oooohusije vamia nyumba za watu yakakukuta yaliyomkuta Mtambuzi.
Tena namwomba mtaa wa Sinani asikanyage kabisa....nimeweka kambi pale ooooh
ntankata nkia wa mbele akaseme kwa nkuu wa nkoa na nkewe bhaaaaaaa bhana weweeeeee kunooooooona
Hahahaaah!! Nimejiandaa haswa maana niliambiwa mtu akija huku anasahau kwao, sasa mimi nipo fiti nimekamilika.......HASHIKWI NTU HAPA.amejipanga vizuri sana,
kabeba na tumizizi twa kuwapumbazeni
ili akifumaniwa ageuke mdudu atambae mbele,si unajua alikotokea.
bhaaaaa bhana wewe huo ntaa nashinda leo jioni na hakuna wa kunifanya kitu.Tena namwomba mtaa wa Sinani asikanyage kabisa....nimeweka kambi pale ooooh
ntankata nkia wa mbele akaseme kwa nkuu wa nkoa na nkewe bhaaaaaaa bhana weweeeeee kunooooooona
Hivi sasa ukija ndio utashangaa sana maana hivi sasa hapo blantyre ni kama pamechoka hapafanyi kazi. Nasikia kuna Makonde, na Maisha club ndio zinakimbiza sana kwa sasa.Ndio ni Blantyre dah!
Enzi hizo tumecheza sana disko na uniform zetu za Sekondari pale.
Ebwana ee!!
Nimekumbuka mbali sana tena sana.
Ndo nafika mwaka 2008 nakuta wamejenga sheli kwa nje,nilishangaaje???
Hivi sasa ukija ndio utashangaa sana maana hivi sasa hapo blantyre ni kama pamechoka hapafanyi kazi. Nasikia kuna Makonde, na Maisha club ndio zinakimbiza sana kwa sasa.
Hahahaaah!! Nimejiandaa haswa maana niliambiwa mtu akija huku anasahau kwao, sasa mimi nipo fiti nimekamilika.......HASHIKWI NTU HAPA.