KATANGA: Je, ni tamaa ya hazina dhidi ya Uzalendo?

Wakuu naskia Kongo DR imekuwa ya moto kwa Kabila, familia yake haijulikani ilipo huku yeye akijificha eneo la Katanga. Kuna ukweli wowote kuhusu taarifa hii?
Kuna fukuto la chini chini na joto kali ,Kiasi alizuiwa kwa muda kutoka Kinshasa, lkn sasa yuko kolwezi

Siasa Congo imekua tamu,hahahaha

Sasa ndio muda wa CHESS kuchezeka RDC ,stayed tune
 
Kuna fukuto la chini chini na joto kali ,Kiasi alizuiwa kwa muda kutoka Kinshasa, lkn sasa yuko kolwezi

Siasa Congo imekua tamu,hahahaha

Sasa ndio muda wa CHESS kuchezeka RDC ,stayed tune
Asante sana mkuu kwa taarifa za uhakika!
 
Ndani ya Kolwezi kujipanga upya View attachment 1655728
FB_IMG_16083976343633499.jpg
 
Kagame ni mtu mwenye tamaa Sana,,yawezekana kushinda hata mwanamke..Alimchukia Sana Rais Kikwete kwa vile askari wa Tanzania walivyoweza mkwamisha na interest of conflict katika nchi ya DRC..Yeye nchi yake ndogo Sana anajiona Rais wakati ni Kama mkuu we mkoa tu,,na wazungu wanamtumia Sana.Ni nchi yenye coverage nzuri kwenye cable news za kihanithi za ulaya.
Ila kosa kubwa kuliko yote ni kuona walivyoivuruga Kongo na viongozi wa EAC hasa hasa Tanzania kuikubalia nchi hii ya makatili kujiunga na Sasa nao wanajiita wana afrika mashariki. Fitna yao na kutumika kwao kutakuwa na athari ya mda mrefu Sana.
Mkuu,hivi Tanzania iliingia kuisaidia DRC kwa Upendo,au na ss tunavuna kule?
 
Sio huko tu Kama Rwanda ingekuwa kubwa Kama Tz, na Tz ikawa ndio Rwanda basi Mseven na Kagame wangeweka mapandikizi yao nchi zote za EAC, Kagame yuko juu sana kwenye mambo ya Intellejensia pamoja na ile nchi yake kuwa ndogo. Yuko vizuri mno
Mm nashangaa,huyu jamaa alivyo na intelijensia kali hivi ambayo aliipata hapa TZ,ni kwann ss tushindwe kusumbua great lakes Kama anavyofanya?
 
Kitendo cha Bemba na Katumbi kuungana na Rais Felix kinaashiria nini kuelekea LAMUKA na Kongo wa ujumla??
Muungano ambao wanaita Union sacrèè de la nation RDC ,ambao kwa kiasi kikubwa Martin Fayulu hakubaliana nalo ,lengo kuu ni kuuvunja nguvu,ushawishi,wa chama cha PPRD na muungano wa FCC ya JKK

Sasa kwakua Moise Katumbi ana nguvu Katanga ,na Bemba ana nguvu maeneo ya juu kule equatorial na hata mashariki ,na Felix maeneo ya Kasai , hivyo walihitaji umoja huu kuweka nguvu bungeni

Nadhani tumesikia bunge limeaua nn juu ya PM Ilunkamba na Serikali yake ,kisha tumesikia vile Felix amefanya kuteua watu wapya 'watiifu' kwa Serikali yake na kwake
 
Za masiku mkuu
Ambacho mpaka leo sijaelewa ilikuaje Fatshi adhibiti bunge ilihali FCC wana overwhelming majority kuliko coalition ya Fatshi "heading for change"?

Ama ndio kusema vyama vinavyounda FCC vimegawanyika ili kumpa Fatshi majority bungeni?
Siasa ni game ,na game aliyocheza Felix ni ile ya unafiki wa wanasiasa,katika kutaka madaraka
Hivyo alipotangaza kuwa atavunja bunge na kuondoa baadhi ya huduna muhimu kwa wabunge , wakaamua kujirudi

Lakini Felix Mara nyingi amekua akillalamika ktk.hotuba zake kwa nchi kuwa FCC na wabunge wanamkwamisha, atatumia mamlaka ya katiba kufanya vile inafaa, kuvunja bunge,kubadili watendaji wakuu ,hii ilimjenga sana

Katika majimbo 26 ni jimbo moja tu la Tanganyika anaongoza gavana Zoe Kabila ,hakupiga kura ya kukubali Felix atumie mamlaka ya katiba

Na kikubwa ni nguvu ya uchaguzi 2023,wacongo wanasema JKK ako amekaa miaka 18 ,basi Felix amalize mihura yote

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom